I find this very true

I find this very true

sonnita

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
1,787
Reaction score
1,920
Kuna ka ukweli apa.kuna anaebisha?
 

Attachments

  • 1433997627918.jpg
    1433997627918.jpg
    59.7 KB · Views: 634
Neema zinamiminika ukiingia kwenye mahusiano. Ukitoka kila kitu dry, its just a coincidence
 
Ipo sana hiyo,halafu utakuta kuna mtu ulikuwa unampigia mahesabu lakini akakupotezea,ukishapata mtu mwingine unashangaa anaanza kujiletq
 
Ipo sana hiyo,halafu utakuta kuna mtu ulikuwa unampigia mahesabu lakini akakupotezea,ukishapata mtu mwingine unashangaa anaanza kujiletq

Hahhhahaha.nakusoma.so boring.asa ujiloge utoke uende kwa alejileta.kote kuna fall apart.
 
Neema zinamiminika ukiingia kwenye mahusiano. Ukitoka kila kitu dry, its just a coincidence

Mi naona sio coincidence tuu. Naona kavile kuna kanguvu flani mtu mwenyewe hawez kuona wala kugundua.labda atajipenda zaidi ile kupendeza au anakua na confidence zaidi kua kuna mtu ambae anamkubali kwaiyo unaonekana tofauti flani ivi hata furaha inaongezeka.lazma watu wakuone yani.tofauti unapokua single.mambo sio.haujali kihiiiivyo.
 
Kuna ukweli hapo ha ha ha ni wivu tu miroho inauma...hata mi nashangaa cku zote mtu hakuoni lool!Tena ukipata kifaa ndo roho za watu zaweza zipae....coz they never thought u could do better!!

Atchaaaa.apa mi naona sana sana ma ex ndo wanahangaikaga.wakiona mambo safi wanavutwa tena mpaka unaeza hisi laana,like huyu mtu vipi huyu?hataki nisettle au?
Maana mnatemana ukimove on tuu. huyoo anaanza mashairi.
 
Mkuu sonnita hapo kweli kabisa, sijui ni kwa nini lakini kwa uzoefu wangu naona ni timing tu, Unaweza kupiga mahesabu kumuibukia mtu siku flani si unajua kumsoma Kwanza kabla hazijafika watu wamewahi.....Hapo ndo unaanza kujikosha
 
Last edited by a moderator:
Atchaaaa.apa mi naona sana sana ma ex ndo wanahangaikaga.wakiona mambo safi wanavutwa tena mpaka unaeza hisi laana,like huyu mtu vipi huyu?hataki nisettle au?
Maana mnatemana ukimove on tuu. huyoo anaanza mashairi.
gorgeousmimi
Kuna ukweli hapo ha ha ha ni wivu tu miroho inauma...hata mi nashangaa cku zote mtu hakuoni lool!Tena ukipata kifaa ndo roho za watu zaweza zipae....coz they never thought u could do better!!<!-- google_ad_section_end -->

Lakini hizo ni hulka zetu sote!!
 
Last edited by a moderator:
gorgeousmimi
Kuna ukweli hapo ha ha ha ni wivu tu miroho inauma...hata mi nashangaa cku zote mtu hakuoni lool!Tena ukipata kifaa ndo roho za watu zaweza zipae....coz they never thought u could do better!!<!-- google_ad_section_end -->

Lakini hizo ni hulka zetu sote!!

We ukisema huyu wa nini wenzio wanajiuliza nitampata lini uwiiii!!ndo mkitulize sio kuhaha ka kuku anayetaka kutaga yai....
 
Last edited by a moderator:
Hizo ni changamoto za kimaisha na vipimo vya misimamo iliyo thabiti....ni kama ilivyokuwa ngumu kupata kazi ukiwa hauna kazi....ndivyo ilivyokuwa ngumu kupata mpenzi ukiwa huna mpenzi....

saikolojia ya mahusiano inasema kwamba....unapokuwa na karibu na mwanamke au mwanaume kimapenzi unakuwa na uwanja mpana wa kuwajua vizuri wanawake au wanaume kwani kupitia yeye utapata kujua sifa nyingi zinazo wahusu kwa kuwa viumbe hawa sifa nyingi huwa zinafanana, utapata kujua mabaya yao na mazuri yao na pia utajua namna ya kumfanya kuwa na furaha jambo ambalo kila mmoja analipenda maishani mwake...

kupitia mahusiano yako na umpendae watu wanapata kujua kuwa wewe ni mtu wa aina gani kwa namna unavyomtendea mpenzi wako...

kama ikiwa kila siku mpenzi wako amekuwa akiomba ushauri kwa wenzio wa namna ya kutatua migogoro yenu isiyokwisha kwa hakika hakuna atakayevutiwa na uhusiano wa aina hiyo kwani utakuwa si wa kuigwa miongoni mwa watu wenu wa karibu....lakini kama ikiwa kila siku mpenzi wako anaonekana kuwa ni mwenye furaha maishani mwake kuliko hata kipindi cha nyuma alipokuwa hayupo na wewe kimahusiano....

kila mmoja atajua kuwa mabadiliko hayo ya mpenzi wako yamesababishwa na wewe na kila mmoja atapenda kuwa karibu na wewe kutokana na jinsi mpenzi wako anavyokuelezea kwa watu wenu wa karibu....

ni kama kijana mwenye ujuzi wa kazi Fulani lakini hajabahatika kupata nafasi ya kuonyesha kile ambacho muumba amemjaalia...na watu wataanza kuvutiwa nae pindi watakamuona akiwa anafanya kazi sehemu Fulani na kila mmoja atampenda kupitia taswira ya kazi yake....

THINK BIG
 
Hizo ni changamoto za kimaisha na vipimo vya misimamo iliyo thabiti....ni kama ilivyokuwa ngumu kupata kazi ukiwa hauna kazi....ndivyo ilivyokuwa ngumu kupata mpenzi ukiwa huna mpenzi....saikolojia ya mahusiano inasema kwamba....unapokuwa na karibu na mwanamke au mwanaume kimapenzi unakuwa na uwanja mpana wa kuwajua vizuri wanawake au wanaume kwani kupitia yeye utapata kujua sifa nyingi zinazo wahusu kwa kuwa viumbe hawa sifa nyingi huwa zinafanana, utapata kujua mabaya yao na mazuri yao na pia utajua namna ya kumfanya kuwa na furaha jambo ambalo kila mmoja analipenda maishani mwake...kupitia mahusiano yako na umpendae watu wanapata kujua kuwa wewe ni mtu wa aina gani kwa namna unavyomtendea mpenzi wako...kama ikiwa kila siku mpenzi wako amekuwa akiomba ushauri kwa wenzio wa namna ya kutatua migogoro yenu isiyokwisha kwa hakika hakuna atakayevutiwa na uhusiano wa aina hiyo kwani utakuwa si wa kuigwa miongoni mwa watu wenu wa karibu....lakini kama ikiwa kila siku mpenzi wako anaonekana kuwa ni mwenye furaha maishani mwake kuliko hata kipindi cha nyuma alipokuwa hayupo na wewe kimahusiano....kila mmoja atajua kuwa mabadiliko hayo ya mpenzi wako yamesababishwa na wewe na kila mmoja atapenda kuwa karibu na wewe kutokana na jinsi mpenzi wako anavyokuelezea kwa watu wenu wa karibu....ni kama kijana mwenye ujuzi wa kazi Fulani lakini hajabahatika kupata nafasi ya kuonyesha kile ambacho muumba amemjaalia...na watu wataanza kuvutiwa nae pindi watakamuona akiwa anafanya kazi sehemu Fulani na kila mmoja atampenda kupitia taswira ya kazi yake....THINK BIG
Sawa kabisa...you made me confirm something!
 
Back
Top Bottom