I feel played

1. Una umri gani? Au walau tupe age range yako kama hutojali.

2. Aliyeanza kumtamkia mwenzake abt love kati yenu ni nani?
 

pole sana mamii..kiukweli nmekuelewa sana,ushauri wangu huyo jamaa hakupendi na vizuri ukaanza maisha mapya utapata mwenye kujua thamani ya penzi lako..mimi nmepitia hayo kama wewe hata miezi 3 sina lakini nikachukua uamuzi wa kuanza maisha mengine baada ya kugundua hana mapenzi na mimi na hajui thamni nliyompa moyoni.nakuombea upate wa kukupenda sio huyo mzugaji.
 
Seems that guy ni bonge la "bazazi" kwenye u-turn ndo linakutana na ww. He is using u simply bse it seems u love him deeply, he think that u got no option to push on without him by ur side!
Btw its u who knws deep inside how exactly he loves u. Unless km anakutumia tu na hamjapanga kuoana then the time is alarming u to forsake him for wholly!
 
And am cute kweli people say it sasa sijui kwa nini yeye halioni hilo

..wanawake bana...!!! saikolojia ya wanaume ngumu sana, wengi wanasema upo cute kwa sababu zao.. angalia sana mwanaume anayependa kukusifia...
 

please let me bust the sexy bubble !!!!!
 
Last edited by a moderator:
1. Una umri gani? Au walau tupe age range yako kama hutojali.

2. Aliyeanza kumtamkia mwenzake abt love kati yenu ni nani?
Umri wangu ni kati ya miaka 23-29 na yeye ndo alianza japo kua mimi nilianza kumpenda
 
Pole, ndio makuzi hayo. Kimbia taratibu, he is not in to u kabisa. Mara nyingi mwanamme akiwa a beat older than mwanamke huwa anamtreat kama yai.
 
..wanawake bana...!!! saikolojia ya wanaume ngumu sana, wengi wanasema upo cute kwa sababu zao.. angalia sana mwanaume anayependa kukusifia...
Sio wanaume tu nipande zote na I didn't min am thaaaaaat cute just a comment
 

please ni pm namba yako mimi sina mtu tutachati mpaka baaaasi
 
Asante uniombee kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…