I feel played


Tafuta rafiki wa kiume ambae unajua hawez kuvuka mipaka ktk ulafiki wenu then anza kuwa nae karibu, chat nae, tembea nae and sometimes make sure mpenz wako anakuona, akiuliza we mwambie jamaa ni rafiki yako tu, akizidi kuhoji mwambie huwa unakuwa nae karibu huyo kijana pindi unapo mmiss ili kupunguza upweke! Ukiona hajali na wala haoneshi kuumizwa basi ujue kweli hakuna mapenzi ila kama yapo razima atashindwa kuvumilia and atakuwa yeye ndio anataka utembee nae! Warning-yataka moyo, unaweza mpoteza moja kwa moja
 
Hapo hamna mapenzi..kwanini unakuwa na mahusiano na mtu ambaye unaona hana mwelekeo?kaa chini tulia utampa anayekujali kama unavyotaka.
 
Majina mnayotumia humu yana utata. Back to topic ushairi wa King'asti inatosha kaufanyie kazi
 
Last edited by a moderator:
Yani hata baada ya hiyo njemba kukuchosha weekend iliyoisha jana bado inakuignore? Au ipo kwa ajili ya kutafuna mzigo wako tu.
 
Asante I think its time now
 
Mamito hapa unadate mume wa mtu.kama hauko tayari kuwa mke wa pili basi Runaway faster as u can.
 
Nimegive up tayari
 
Nahisi its my end
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…