I feel played

HEHEHE, hata wewe eksi mpenzi. im sorry for being too honest. afu hivi huna invoice yangu? weeh jichekeleshe tu hapa:fencing:

Nooo I feel played eksi kidumu,,,I feel played. BTW invoice gani?? embu ninong'oneze basi mpenzi.
 
meaning anajua kua nampenda sana ndo maana ana nifanyia hivi?

na kama nlivokwambia hata kama ingekua ni wewe ungemfanyia hivyo, hivi ndivyo inavyokuaga...
ila something tells me stay and talk to him I dont know why
just talk with him incase things work out,remember dont commit the same mistake again (to love him too much/kumwonyesha unampenda)... na kama akizingua hamna jinsi just let it go!!! ni ngumu ila this is for your betterment!!! all the best..
 
Asante sana
 
Hupendwi hapo toka nduki kabla hujapewa ngoma aisee mdada pole yako.
 
Mweeh tupo wengi kumbe nkajua mie tu ndo nafanyiwa hvi
 
tatzo nyie mabinti mnataka mda mwing muwe mnaskilizwa tu vitu vingine inatakiwa kias tu, sio kila mara ndo maana mnachokwa mapema acha afanye mambo yake zen atakutafta akikuhtaj
 
Nashindwa kumsahau nikilala namuwaza yeye nikiamka yeye

Unaweza ku move on, i have been through this once trust me nilikuwa naumia mpaka nafeel maumivu moyoni.
Nilijaribu kila njia to move on nikashindwa nikawa najaribu kama week kadhaa najikuta namrudia.
Siku moja nikaamua kwamba sitorudi nyuma nikafanikiwa mpaka sasa ni zaidi ya mwaka namchukulia kawaida sana now yeye ndiye amekuwa mtu wakunishangaa mbona sina time naye, kumbe mwanzake I am on an open road long gone she can't have me back.
Najua ngumu lakini jaribu otherwise utaumia sana maana mimi niliumia kwa muda wa miaka miwili.
 
mule mule
Maneno machache hayapotezi muda
 
hey lil gal just focus on ur stuff dude aint lovin u like for real
 
Nna girl amby malalamiko yake ni the same na yako ila nampenda, but sina hiyo kawaida ya kuwa active kwenye cm. Kwa hyo relax km ni hilo 2
 
πŸ‘ŒπŸ»πŸ‘ŒπŸ»πŸ‘ŒπŸ»πŸ‘ŒπŸ»πŸ‘ŒπŸ»πŸ‘ŒπŸ»πŸ‘ŒπŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…