sexy bubble
Senior Member
- Mar 29, 2014
- 156
- 22
Habari za jioni wana MMU,mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when i was still katoto but i never took it serious until last year ndo akanitambua.Problem is he ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text zangu ni mara chache sana na hata akinitxt yeye basi tutachat kidogo tu then ana nipotezea.Cha kushangaza when we go out he acts like nothing is wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next day majonzi moyoni. Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mbaka yanikumbuke, am i being a little girl or is it just his character.Je kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi. Some times nalia sana I feel stupid,ushauri tafadhali. POLENI KWA UZI MREFU...
inaonekana wewe na huyo mwenzako mpo katika ukurasa tofauti wa kitabu!
Kivipi?inaonekana wewe na huyo mwenzako mpo katika ukurasa tofauti wa kitabu!
nashindwa kuukubali ukweli i love him too much his always on my mind ukweli unaumaOne sentence for you baby gal, "he is not that into you"!
stop calling him, stop texting him and when you meet 'act normal' like he does. Soon atatoka moyoni mwako, anaenjoy free rent huyo.
Hilo jina mimi hoi halafu mpuuzi anakatesa haka katoto!
yani mimi nilianza kumpenda yeye toka nilivyokua sekondary kipindi hicho yeye alikua kamaliza sekondary miaka imeenda ndo we met last yearUmesema amekuzidi, mara tena ulianza kudate nae tangu yupo katoto, sasa swali langu jee wakati yeye yupo katoto wewe ulikuwa nani??
Maanake ur in love with urself hun….Mwambie unavyojisikia kuwa unataka akutext na aonyeshe kuwa anajali….Lakini kama ingelikuwa ni mtu anayekupenda hivo vitu vyote vinatakiwa viflow automatic sio mpaka muburuzane!!!Kivipi?
hata hajui kama nipo humu he wont even careNdo umeamu uje uniandike huku? Mimi na wewe sasa basi
Habari za jioni wana MMU,mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when i was still katoto but i never took it serious until last year ndo akanitambua.Problem is he ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text zangu ni mara chache sana na hata akinitxt yeye basi tutachat kidogo tu then ana nipotezea.Cha kushangaza when we go out he acts like nothing is wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next day majonzi moyoni. Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mbaka yanikumbuke, am i being a little girl or is it just his character.Je kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi. Some times nalia sana I feel stupid,ushauri tafadhali. POLENI KWA UZI MREFU...
Wanasoma vitabu tafauti kabisa. Mmoja ana cha historia mwenzie ana cha basic applied mathematics!