I feel like Dying

I feel like Dying

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,472
Reaction score
4,721
Dear Members, I had just ordered 7 small cars from japan in a ship which was schedule to Start it voyage from Kanda Port in Japan on March 13th. sasa kwa yaliyotokea sijui kama mali imepona jamani. yaani hapa hata ninavyoandika hapa natamani ardhi ipasuke niingie nipotee!!!
 
Kabla ya kukupa pole. Tazama ramani au google earth. Angalia hiyo bandari kama iko eneo lilipotokea tetemeko. Waweza kujua kama kuna tatizo. Unaweza pia kumuuliza shipper wako.
 
Utarudishiwa hela, usiworry sana.
 
Pole, punguza mawazo hazitopotea. Kama magari yameharibika huko utarudishiwa mtaji wako.

Nnchohofia mimi, sasa tutakuja uziwa magari yaliyopata msuko suko. Chumvi kedekede. Ilishatokea, si kwa zilzala bali kwa kuzama meli ya magari, yalipoopolewa, wajanja wakayawahi kwa bei ya kutupa. Wacha.
 
Dear Members, I had just ordered 7 small cars from japan in a ship which was schedule to Start it voyage from Kanda Port in Japan on March 13th. sasa kwa yaliyotokea sijui kama mali imepona jamani. yaani hapa hata ninavyoandika hapa natamani ardhi ipasuke niingie nipotee!!!

hiyo hasara yao sio yako.
Ndio maana kuna mambo ya insurance kwahiyo usiwe na hofu.
 
Jamani hii ni Natural calamity, I stand to be corrected. this is not insurable!!!
 
kwa wajapan magari ni kama maandazi....
watakutafutia mengine wakuletee..............
 
Pole mkuu! Mi nimepoteza kibanda changu kwa mabomu Gmboto we mwenzangu migari yote hiyo!! Pole mwenzangu. Tuonane wapi tulie pamoja?
 
Back
Top Bottom