Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,572
- 18,001
kibano mpaka msela akajikojolea?
HAPANA! Ni maji aliyokuwa akitumia kunawa uso ili kupunguza athari za mabomu! Ile chupa ilikua mfukoni.(usiniulize nimejuaje)
kibano mpaka msela akajikojolea?
Naunga mkono hoja hiyo kwa asilimia 100%.
tehe! tehe! tehe! Sasa ndugu yangu kuwauwa na walawiti kidogo tu kama mara kumi tu, ipi adhabu kali sasa?Hapana Mzee!!!, hii itakuwa ni kutawaliwa na hasira za kishetani kwa maana na wao watakuwa wanafanya uharamu wa liwati, dhambi kubwa. Ila ili kuwaonesha polisi kazi wanayotakiwa wafanye, na vile vile kuweka mfano bora na safi kitaifa, ni kama hivyo kutumia intellegensia, na nguvu za umoja wao, kuwakamata mmoja mmoja au kwa makundi na kuwatekelezea adhabu wanayostahili, kuwaua kwa kuwakata vichwa. Vizuri hasa adhabu hii itekelezwe na wale waliolawitiwa, lakini wanafunzi wote washiriki. Mkakati huu uwe wenye kuendelea, uchunguzi wa makundi haya uendelee, majina yao yawekwe hadharani na wawe targetted for execution kwa kuwakata vichwa. Wakiicha tu kuyafanya haya, na adhabu itaachwa na wakifanya tena inatekelezwa. Adhabu isitekelezwe kama akilawitiwa mtoto wa .... Hata kama lingekuwa dai la mtu mmoja tu, na ripoti polisi wamepelekewa na uharamu unaendelea basi walikuwa na haki ya kupeleka mashitaka yao mbele na yasikilizwe kama watoto wetu wa taifa letu. Mwanao hata akija kukushitakia upuuzi, msikilize, mkosoe na kama analolisikitikia ni kweli basi take action. Walikuwa wafanye nini tena na hawawezi kulala wala kushughulika na masomo kwa wasiwasi? Wakamshitakie nani???
Ifm hamuwez timbwili tuachieni udsm
aisee mods ingekuwa busara kama huyu kijana angafanyiwa utarartibu wa kusitiriwa..Ina maana ameshindwa kubalance mkojo akasubiri kufungua ledger ya zipu yeye akachanganya zote creditna debit hapo hapo

