Asante ndugu yangu.hongera kwa kupata mtoto nduguyangu. ukweli naona unauona vizuri lakini hautaki kuupokea, huyo jamaa hajawahi kuwa na mapenzi ya kweli na wewe, mlikuwa mnatimiziana tamaa za mwili wala hamkuwahi kuongea mahusiano ya kudumu sema wewe ulijiaminisha tu kuwa ni mahusiano ya kudumu (kosa mnalofanya wanawake wengi)! mwache atulie huenda akamwonea imani mtoto, ikifika miezi sita bilabila nendamahakamini, kulea mtoto ni wajibu siyo hiyari.
Nimeshatoka tayari..hizi nyege za uzazi tu. Ushatoka hospital?
AsanteFace your problems do not Facebook them
kwi kwi kwi kwi leo hatareeeeeeee
miezi yote 9 kabsaaaa..!!!! bila kumuarifu mwenzio kabsaaaa...!!!!!!!! mi nkimis period tu najihami mapemaaa ili ajue kama ni mabadiliko tu au ni kizaigot ajibebe.
Asante sanaPole kwa yaliokukuta kumbuka ww co wamwanzo wala wamwisho kuachwa na mtt wapo watt waliepoteza wazaz wao na bd wamekuwa na huyo atakuwa pmj na hayo umekosea sana kumficha mwanaume suala la mimba ni zito linaweza kujenga au kubomoa endapo mwanaume atatia shaka kuwa mtt co wake usichoke kumtaka radhi bd anahasira lkn yatakwisha tu
Nimeshatoka tayari..
Acha tukwanini hutumii kondomu kama Evelyn Salt ?
Na watu wote sasa wataje jina la Mungu na kumshukuru kwa hili!!!!Najipa moyo mtoto wangu atakua salama atakua mdada mrembo kama baba yake hatajirudi sasa basi hapo baadae wataelewana wenyewe acha mi nilee malaika wangu ambaye sikumtupa chooni.
Nimeweza ila kwa sasa kame lalaushajua kukawekea chuchu kanyonye?
Na kukafunga kwenyenguo ushajua?
Unachunga kitovu? usije kutuletea msagaji bure.
Una mengi ya kuhofia nashangaa unahuya huya na mwanamme aliyekataa ulezi, sio wa uji.
Hahaha i like u..Na watu wote sasa wataje jina la Mungu na kumshukuru kwa hili!!!!
kwanini hutumii kondomu kama Evelyn Salt ?
Nimeweza ila kwa sasa kame lala
Hahaha i like u..
Ushajua kukaongesha?
Wee mwenyewe unakumbuka kujikanda?
Unajua post natal depression? Jichunge