OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Kichwa ngumu utamfanya nini Ole?! Ukweli ni kwamba huggie angekuwa karibu na mimi na DNA za mtoto zikaonekana ni za huyo mpenzi wake angekiona labda awe mgonjwa. Haiwezekani upende ngono afu matokeo yake yasikuhusu. Kwnn lkn hii hali tunaisababisha? Mimi nilizaliwa ktk nyumba ya baba na mama na nikakua hivyo, think about how others miss their relatives. Watoto wanaoitwa watukutu, wa mitaani, machokoraa, n.k. wanasababishwa kwa kiasi kikubwa na huu ujinga.
Nimekuelewa kaka i feel the pain in your nerves!!!!!
Daaaanh , well the bigger painted picture!!!!