Mwambie akapime DNA ili awe na uhakika. Kama atabisha na maadam anajifanya hakuelewa matokeo km vile hakuzaliwa duniani wewe mwaga mboga. Masuala ya TGNP, TAMWA, ustawi wa jamii na kama anafanya kazi usawa wa wakuu wake au kama ni mshirika wa makampuni basi huko kwa mameneja wenzake kutaeleweka, wazazi wake pia usiwaache. Mwaga mboga hadi mchuzi ili akoswe pa kuchovya.
Wanajirudigi kweli?
Wanajirudigi kweli?
Nilichonacho ndicho kinakuhangaisha!
Usilazimishe mazoea !
Umeshauri nini toka umeiona hii post badala ya kukomaa kuquote nilichoandika?
Mxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxiou sura kama nyuma ya sufuria!.
Nipishe Mimi!
jikande maji kwanza ukipona urudi.
Mbona wakati mnaduu ulikumbuka kwamba anatakiwa amwage nje?why alipomwaga ndani hukumwambia?
Nilimuambia week za mwisho mwishoina maana alikua hajui kama una mimba hadi ulivyojifungua.........
there is always a way usivunjike moyo
Unafikr huyo kiazi alikuwa anajibu nilichoandika!?
Yeye huwa akiona jina snowhite anahaha kama katembelewa na siafu ukweni!
Msamehe bure!
Let him go!
Mpe muda ajiwazieeeee
Akiamua kwenda jumla poa!
Huwezi kushindwa kulea mtoto wako
Sijui nikushauri vipi!!!!
Nakuonea huruma sana..niruhusu niongee na wewe kama dada zange wa humu snowhite, Kongosho, Cyan6, BADILI TABIA na wengine hawa wakinikera huwa siwabakizi!!!!!!!
Lakini dada we mjjinga kidogo eeenh????!!! Hivi mimba una uhakika ya mtu mzima mwenzio hukumwambia sababu gani eti????!!!!
Kama kuna habari mwanaume anaitaka kwa haraka na mapema ni mimba hata za ndoa tena ile siku tu ya matarajio mtu nataka niambiwe kabla sio unichukue kama nimekosea basi NO!!!! Itakuwa hamjaoana nyie????!!!!
Sasa madhali umelikoroga tukae kama familia sasa!!!!
Unaweza kumtunza mtoto mwenyewe???!!!
Kwenu wakijua hawawezi kukutupa kila kwenye shida watakupa msaada!!!!
Sasa kubali maisha yako achana na ndoto kaza tumbo lea mwanao, akija poa asipokuja tunza utu na heshima yako na familia yako! !!!!!!
Wanaume wengine ni saddists kila unavyolia yeye ndio sperm production inazidi na kupata nguvu ya kuchepuka!!!!!
Ila usirudie huu uffala tena!!!!!
You the sister we love you still!!!!!
Unatamanije niwe mtoto af ndo huwezi sasa!kwa lipi ulilonalo mpaka nilazimishe mazoea na jiheshimu huwa sina muda wa kujibizana na mwanamke na hapo juu nimejaribu kukurekebisha uache utoto.
Ahahahahahahaha Kule home yale mashudu yaliyolowa na mvua huwa tunayafanyaje?Ujue we ndio festi boni sasa dogo huku anashida we unatumia nguvu kinyume na maumbile ili iwe nini kwa mfano????!!!
Hebu rudi ndani huku mdogo wako anataka umshikie mtoto aka wiwiiii mara moja!!!!!!!
Ebhoooo we vipi bhana kama unapiga mswaki ati kama sura vile
Ooooh !
Pure Brotherly
My late brother ilikuwa anakuscold kwanza af anafungua mikono kukuhug hata uwe umeboronga viiipi!
Nakoz kwanza thn comes those mikono mipana na kifua cha kukuruhusu ulie weeeeee af anakupa mchongo!
How I miss him!
Hongera kwa kupata mtoto, jipange mwenyewe tu kulea huna la kufanya,utu au mapenzi hayalazimishwi,ila na wewe best yetu una makosa sababu miezi tisa si mchezo usimwambie mtu kweli na hali ukijua swala la mimba linahusisha watu wawili!! kwa kweli ana haki ya kukataa si rahisi mtu kukubali,kwanini umfiche ulikuwa na nini nyuma ya pazia?
naona unawashwa.
Asanteyani mpaka una mimba hajui? huyo mtu wako ana umri gani? na hospt hakuja kuuliza? mpaka unajifungua ndio anasema hataki, aisee, pole sana hajielewi huyo, fanya yako mlee mtoto katika njia impasayo naye hata iacha. ila huyo uliyezaa nae hatujui ni nani yako mumeo au mzinzi mwenzako kama bado unampenda sina ushauri, jibu unalo mwenyewe. maneno makali sina zaidi ya kumuombea.
Tartiiiibu mpaka uwanja wa praimari unayatandaza kama unayaanika vile na utayarudia. .Ahahahahahahaha Kule home yale mashudu yaliyolowa na mvua huwa tunayafanyaje?