I dont want it

I dont want it

Sababu wanakuwa cared left right and centre halafu anakuwa free mara bibi mara babu ooonh anko sijui antie yaani boyanti flani hivi hii inampa piece of mind na good brain development!!!!

Ukiweka na lishe bora aaaaanh kazi kwako ada tu na kuulizwa maswali mpaka mengine unaona kama katumwa!!!!!

Yaani hapo ni kweli kabisa kaka yangu.........miswali mengine hata wewe mwenyewe hujawahi kujiuliza....lol
 
Labda wanachomwa sindano za ganzi!
Hawachoki?
Hawapati usingizi
Nyuzi haziumi
Hawa...enh ngoja ninyamaze!

Kwa muktadha huu, bora niichukulie hii ni kawa riwaya nyingine ya shigongo..

Baaas
 
mimi nitakuwa baba yake wa hiyari njoo tumtunze binti yetu
NAJUA NITAKAVYOJILIPA KWA MATUNZO YA HUYO MTOTO MAANA NAJUA MIMI NITAKUWA BABA NA WEWE MAMA KWAHIYO WEWE UTAKUWA MKE WANGU BILA SHAKA KUNA KITU NITANUFAIKA NACHO
kitu gani?
 
hizi nyege za uzazi tu. Ushatoka hospital?

Maswali mengine bhana, asa angeanzisha thread akiwa wodini.

Leo ndo nimeamini kumbe kweli K zinatofautiana size. Kuna jamaa aliwahi nambia mzazi mwenzie alikuwa K kubwa kiasi kwamba muda wa kujifungua hana haja ya kwenda spitali. Akikohoa tu, katoto kuleee. Kesho mzigo kama kawa.
 
huggies, Pole sana kwa yaliyokukuta LET IT GO!
Muda huu jali afya yako na ya mwanao kwanza, afya ikikaa sawa lea mwanao. Acha kumwaza huyo mwanaume, utajipatia stress na mwisho bureee na utasababisha kutopata maziwa mengi kwa ajili ya mwanao.
 
Last edited by a moderator:
hata mie naijua hiyo dawa, iko kwa ndodi.

Maswali mengine bhana, asa angeanzisha thread akiwa wodini.

Leo ndo nimeamini kumbe kweli K zinatofautiana size. Kuna jamaa aliwahi nambia mzazi mwenzie alikuwa K kubwa kiasi kwamba muda wa kujifungua hana haja ya kwenda spitali. Akikohoa tu, katoto kuleee. Kesho mzigo kama kawa.
 
Kongosho nilitamani kukuita saa nying nikijua with sweet talks atakaa kweny mstari!
Yani hakajui vitu vingiiiiiiiiii af sijui hii akili/wazo /guts anatoa wapi!

OLESAIDIMU kudos blaza
Nakuona unavyokomaa ankali!
 
Last edited by a moderator:
Je niende kwa mama yake ajue kua ana mjukuu??kwa taarifa tu.

Naaaani needs ur taarifa mamii!
Hiv unaendaje mahali kusema una mtoto wa kijana iwapo kijana hajasema kuwa ana mtoto nawe!
STOP being this naive!
Haikusaidii zaidi ya kukuumiza much worse kumuumiza huyo mtoto!
 
Namshangaa, huyo mtoto alimpataje bila maumivu?

Yaani ningekuwa mie nongekuwa nakikodolea kichanga changu happly after ever.

Kongosho nilitamani kukuita saa nying nikijua with sweet talks atakaa kweny mstari!
Yani hakajui vitu vingiiiiiiiiii af sijui hii akili/wazo /guts anatoa wapi!

OLESAIDIMU kudos blaza
Nakuona unavyokomaa ankali!
 
Last edited by a moderator:
Maswali mengine bhana, asa angeanzisha thread akiwa wodini.

Leo ndo nimeamini kumbe kweli K zinatofautiana size. Kuna jamaa aliwahi nambia mzazi mwenzie alikuwa K kubwa kiasi kwamba muda wa kujifungua hana haja ya kwenda spitali. Akikohoa tu, katoto kuleee. Kesho mzigo kama kawa.

huyo jamaa yako ni muongo , halafu inawezekana alikuwa na stress za mwanamke.
 
Namshangaa, huyo mtoto alimpataje bila maumivu?

Yaani ningekuwa mie nongekuwa nakikodolea kichanga changu happly after ever.
Nimeshindwa kumuelewa !
Mtoto wa kwaaanza!
Nilikuwa najiwazia tu enh hiv huyu katoka tumboni mwangu?
Nimeweza kweli kupush?
Kananyonya matiti Yang?
Tukucha tule,nikikumbuka the moment wananipa mwanangu uuuuuuwih!.,
Au siku hizi watoto wananunuliwa kweli baharini?
 
dada mkubwa kipindi wanakupa firstborn umshike nawe ulikua kwenye hii situation ya kuwaza mtoto hana baba
 
Namshangaa, huyo mtoto alimpataje bila maumivu?

Yaani ningekuwa mie nongekuwa nakikodolea kichanga changu happly after ever.

umenikosha sana maana asione watu wako kimya humu akajua ye ndo wa kwanza kukataliwa!ila mtoto kwanza mengine baadae
 
Back
Top Bottom