Sijui nikushauri vipi!!!!
Nakuonea huruma sana..niruhusu niongee na wewe kama dada zange wa humu
snowhite,
Kongosho,
Cyan6,
BADILI TABIA na wengine hawa wakinikera huwa siwabakizi!!!!!!!
Lakini dada we mjjinga kidogo eeenh????!!! Hivi mimba una uhakika ya mtu mzima mwenzio hukumwambia sababu gani eti????!!!!
Kama kuna habari mwanaume anaitaka kwa haraka na mapema ni mimba hata za ndoa tena ile siku tu ya matarajio mtu nataka niambiwe kabla sio unichukue kama nimekosea basi NO!!!! Itakuwa hamjaoana nyie????!!!!
Sasa madhali umelikoroga tukae kama familia sasa!!!!
Unaweza kumtunza mtoto mwenyewe???!!!
Kwenu wakijua hawawezi kukutupa kila kwenye shida watakupa msaada!!!!
Sasa kubali maisha yako achana na ndoto kaza tumbo lea mwanao, akija poa asipokuja tunza utu na heshima yako na familia yako! !!!!!!
Wanaume wengine ni saddists kila unavyolia yeye ndio sperm production inazidi na kupata nguvu ya kuchepuka!!!!!
Ila usirudie huu uffala tena!!!!!
You the sister we love you still!!!!!