I dont need you | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I dont need you

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Sanda Matuta, Apr 11, 2009.

 1. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2009
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  I don´t need you
  I don´t need friendship
  And I don´t need flowers in the Spring
  and don´t need you
  And you surely don´t need me.

  I don´t need love and affection
  And I don´t need peace and harmony
  And I don´t need you
  And you surely don´t need me.

  But we both want it bad enough
  Yes, we both want it, don´t we?
  I don´t need you, baby
  And I know you don´t need me.

  I don´t need your loving arms around me
  All I need is to be free
  That´s what I keep telling myself
  And I tell you: “you don´t need me”.

  I don´t need children in my old age
  No more cluttered leaves around the trees
  And I don´t need you
  We don´t need eachother baby
  We don´t need eachother baby, or do we?


  Wakulu,

  Huo ni wimbo wa Nguli wa muziki wa mahazi ya COUNTRY KENNY ROGERS.

  Katika wimbo huo kuna mambo mengi yana nitatiza hasa kwenye maana harisi ya maneno hayo anyo jaribu huyo babu kumwambia mpenzi wake.
  Hivi ni kwamba anamwambia hamtaki,anamtaka,anataka NGONO tu au mengine mengi mnaweza kuyaibua kutokana na wimbo huu.
  Kazi ya FASIHI mara nyingi inakua na majibu tofauti tofauti kulingana na mtu na mazingira yake.
  Ki jiwe chenu hiki karibuni..........................
   
 2. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hapo ni mwajiriwa na mwajiri wake. Mwajiriwa anasema hamhitaji mwajiri wake ila anataka mshahara tu, yaani pesa, ambazo hata mwajiri pia anazihitaji. Mpaka hapo..?
   
 3. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2009
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Haha..........haa......!

  Mkuu TAFISIDA yako imeenda shule.
  sawa wacha tuone wenye mtazamo tofauti na wako
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Political twist: Hapo ni wananchi na serikali yao (chini ya CCM):


  I don´t need you
  I don´t need friendship
  And I don´t need flowers in the Spring
  and don´t need you
  And you surely don´t need me.

  CCM ya nini, CCM ya nini,
  Kwanini inatubembeleza sana wapiga kura nyakati za uchaguzi?
  Hatuihitaji, nayo haituitaji, tumeona pale chaguzi zinapopita inavyotusahau.


  I don´t need love and affection
  And I don´t need peace and harmony
  And I don´t need you
  And you surely don´t need me.

  Tumekizoea mno chama hiki,
  Amani na utulivu kama kisingizio kimepitwa na muda.


  But we both want it bad enough
  Yes, we both want it, don´t we?
  I don´t need you, baby
  And I know you don´t need me.

  Wote tunapenda maendeleo ya nchi yetu,
  Ndiyo sote tunapenda hayo maendeleo,
  Lakini kati yetu, baada ya uchaguzi hatuhitajiani. Tumeyaona.

  I don´t need your loving arms around me
  All I need is to be free
  That´s what I keep telling myself
  And I tell you: "you don´t need me".

  Hatuhitaji chama kimoja kuwa ndiyo mwanzo na mwisho wa yote,
  Hatuhitaji kung'ang'aniwa na chama hiki kama vile ni mama yetu tusiyeweza kumtosa.
  Tunachohitaji ni uhuru. Uhuru wa kuchagua tunayemtaka katika muda tutakaopenda sisi.
  Tunaamini tunaweza. Usitung'ang'anie na kutulaghai, unajua hili na tumeshakuambia na tutazidi kukuambia.

  I don´t need children in my old age
  No more cluttered leaves around the trees
  And I don´t need you
  We don´t need eachother baby
  We don´t need eachother baby, or do we?

  Miaka arobaini na ahadi zako haujatekeleza,
  Tumechoka na hatuhitaji ahadi nyingine za ziada,
  Umeshatuangusha vya kutosha miaka nenda rudi,
  Ifike wakati tukubali kuwa mahusiano kati yetu si endelezi tena.
   
 5. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2009
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0


  SALUTE ! KWAKO MKULU STEVE.............

  AS i said earlier in my 1 post KAZI YA FASIHI........
  inaweza kuwa na majibu mengi.

  BROVE MKULU
   
 6. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2009
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  But we both want it bad enough
  Yes, we both want it, don´t we?
  I don´t need you, baby
  And I know you don´t need me.

  Jibu lako lipo kwenye ubeti huu mkulu,
  Jamaa anamwambia hamuhitaji kama mpenzi, wala hahitaji bahshasha zozote za mtu na mpenzi wake, yeye anahitaji kumaliza hamu yake tu ya majambos basi, akihitaji tena atakuja ila kuitana sweet, darling, honey, wa ubani hataki hayo
   
 7. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2009
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0


  Haha ha ha .................Good.!
  However,(for the record) napenda kuwa tofauti kabisa i mean the opposite of your thoughts concerning the context of the song MKULU.
  Ila silazimishi mtu kuwa upande wangu...maana mimi nadhani jamaa (mwimbaji) anautaka MZIGO wake ila ametumia lugha isiyo ya moja kwa moja katika kufanya kazi hiyo ileta maan zaidi ya mmoja soma vizuri btn lines
   
Loading...