I dont believe uhaminifu katika mapenzi 100%

kukiwa na uaminifu 100% then huo utakuwa sio ubinadamu...huo ni umalaika ndo mana binadamu tumeumbwa kusahau, kusamehe na kuendelea na maisha.


mmmh nyie ambao mmanyumba ndogo bana kwa kujitetea!!!!! unaingiza mpaka maneno ya dini wewe hapa
 
Back
Top Bottom