Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Hahahaaa mchangiaji mmoja amenipa tabasamu pana sana hehehehe.
Kilichonijia kichwani ni kuwa, manukato ni kama simu za viganjani, zinanenda na Muda / wakati.... Fikiria enzi za tritel kimobitel motorola n.k. to iPhones....
Kulikuwa na manukato ya YU na mafuta yake, mikebe ya pink na manukato ya THE...
Kweli wakati ukuta.