I do remember the smell of these bottles

I do remember the smell of these bottles

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
1067135
 
Bibi kipindi hicho mimi nlikua bado sijazaliwa eeehhh?

Maendeleo hayana chama
 
1067140

When a brother is ready to take to Mbowe Hotels, Msasani Beach Club or Clouds Disco Motel Agip.
 
Wakati huo engineer alikuwa brother men
Engineer kipindi hicho anaonekana alikua balaa akishapiga viatu vyake vya Travolta basi mademu wakali wote hapo mtaani ni wake.

Maendeleo hayana chama
 
Hahaha kuna ile ya jasmine unaonekana bibi uliitumia sana.

Maendeleo hayana chama
Hapana wakati huo nilikuwa ninatumia Yolanda mpaka dada mkubwa alivyopasua mawingu ndiyo nilianza kutumia Exclamation

1067173

Nilijidai chuo
 
Duuuuhhh mambo Exclamation sio mchezo yaani mtu anaweza kukufata nyuma kwa kunusa tu huku amefunga macho na asipotee njia.

Maendeleo hayana chama
Sikuhizi imeadimika sana tunaletewa perfume za kina Britney Spear
 
Was my favourite, na kaharufu kake ka'kibabe hivi[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapo shingoni kalikuwa na kacheni flani hivi cha bati chenye logo yenyewe BRUT
“ᴬⁱⁿ̇`ᵗ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ ᵃˡⁱᵛᵉ ᵗʰᵃᵗ ᶜᵃⁿ ᵗᵃᵏᵉ ᵐʸ ᵐᵒᵐᵐᵃ`ˢ ᵖˡᵃᶜᵉ”
 
Wakati huo ukiwa nayo unaonekana mjaaanja.
 
Wakati huo ukiwa nayo unaonekana mjaaanja.
Kipindi hicho wanamitindo wanaovuma walikuwa Escada, Elizabeth na Emanuel Khumalo[emoji16][emoji16][emoji16]

“ᴬⁱⁿ̇`ᵗ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ ᵃˡⁱᵛᵉ ᵗʰᵃᵗ ᶜᵃⁿ ᵗᵃᵏᵉ ᵐʸ ᵐᵒᵐᵐᵃ`ˢ ᵖˡᵃᶜᵉ”
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom