I did witchcraft in the bush, says Museveni

ByaseL

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
2,225
247
Observer

The burial last week of Col. Livingstone Kateregga at Namaliri village in Mukono turned political when NRM politicians revealed that the fallen soldier was the district party chief mobilizer and arbitrator.

The LC-V Chairman, Lukooya Mukoome, told mourners who included top Army officers, ministers and President Museveni, that NRM disputes in the district were always resolved in the colonel’s sitting room.

“You recall how one day we fought here in his sitting room and broke all his chairs? But he forgave us because of his kindness,” Mukoome told mourners.

On witchcraft, Museveni told Retired Arch Bishop Nkoyoyo that the main churches lack something, which is the reason people resort to witchcraft. He informed mourners that he also used to practice witchcraft while fighting in Luwero.

He said he was made to jump a chicken three times during the Luwero war. He further revealed that one time he moved out of his tent only to hear sounds of artillery. He looked up and there was northing, only to be told by the villagers that it was mayembe (spirits) fighting the enemy.
 
It is shame and sad for a President to belive in such stupid and dirty things. LOL
 
Je mnapenda sisi Waafrika tuamini nini?? Tumeiga kila kitu..yaani hata imani za wengine ndo tumekumbatia na kuziita eti ndo ukweli!

Ni Afrika tu ndo huiga kila kitu..ndo maana tuko nyuma na mabara mengine!

Kosa la M7 ni lipi? Wajapan, Wachina, wazungu nao wana matambiko yao..mbona hatusemi stupid??

Why double standard?
 
Hawa marais wa Afrka na ushirikina. No wonder wengine wanatuhumiwa kufanya human sacrifices kubaki kwenye madaraka kama Mobutu
 
It is shame and sad for a President to belive in such stupid and dirty things. LOL
Mkuu heshima mbele
Naona bora yeye kusema ukweli kuliko hapo nyumbani uchawi unaimprove na watu hawasemi kama wanafanya
Maalbino kila siku wanapungua tuu
 
On witchcraft, Museveni told Retired Arch Bishop Nkoyoyo that the main churches lack something, which is the reason people resort to witchcraft. He informed mourners that he also used to practice witchcraft while fighting in Luwero.

He said he was made to jump a chicken three times during the Luwero war. He further revealed that one time he moved out of his tent only to hear sounds of artillery. He looked up and there was northing, only to be told by the villagers that it was mayembe (spirits) fighting the enemy.

Goodness gracious!!!!! He was made to jump a chicken three times....LMAO
 
Inanikumbusha article moja niliipost hapa
https://www.jamiiforums.com/99966-post1.html
Last updated : 14 Nov 2007, Kampala
Museveni's witchdoctors cause embarrassment at State House

Museveni believes and practices witchcraft and black magic and this is not new. We are told that on his road trip to Tanzania about three months ago he went to look for a new witchdoctor to replace his one eyed "Tanzanian witchdoctor" who died early this year.

Now the New Vision of last week had a story on the witchdoctors who arrived at State House for their "prayer" duties but Museveni has to pretended that he does not know them. You study the picture by clicking on this website Museveni's visitors. Do you know why people looking like that can enter the security zone of State House? It is because the Presidential Guard Brigade (PGB) boys are now used to such "visitors" and it is normal.
 
Je mnapenda sisi Waafrika tuamini nini?? Tumeiga kila kitu..yaani hata imani za wengine ndo tumekumbatia na kuziita eti ndo ukweli!

Ni Afrika tu ndo huiga kila kitu..ndo maana tuko nyuma na mabara mengine!

Kosa la M7 ni lipi? Wajapan, Wachina, wazungu nao wana matambiko yao..mbona hatusemi stupid??

Why double standard?

Kwi kwi kwi..mazee itabid tuanza kukufuatilia kwa ukaribu weye inawezekana nyie ndio mnaotuulia walemavu wetu wa ngozi..

Hivi unajua kuwa hizi imani za kijadi unazozitetea ndio dizaini hiyohiyo zinapolekea mauaji ya albino? What happened to MajiMaji, Kinjekitile Ngwale and co?

BTW, hivi yule rais wa Gambia, Yahaya Who? ameishia wapi, maana eti yeye alijifanza nabii wa kuweza kutibu watu ukimwi na dawa zake za mitishamba na kuwaombea wagonjwa kwa mizimu. Nilimshuhudiana mwenyewe kwenye African Journal ya hayati Muhammad Amin.

Hili ndo tatizo la waafrika, mtu mwenye mawazo substandard na muflis ndo anapewa kiti cha ufalme aongoze..Na kwa kuwakubali viongozi kama hawa halafu tunashangaa inakuwaje hatuendelei...arrrgghh
 
Je mnapenda sisi Waafrika tuamini nini?? Tumeiga kila kitu..yaani hata imani za wengine ndo tumekumbatia na kuziita eti ndo ukweli!

Ni Afrika tu ndo huiga kila kitu..ndo maana tuko nyuma na mabara mengine!

Kosa la M7 ni lipi? Wajapan, Wachina, wazungu nao wana matambiko yao..mbona hatusemi stupid??

Why double standard?

Lakini kuna limit mkuu. unataka kuniambia wewe una kubaliana na ukeketwaji wa wasichana/wanawake, kuuliwa kwa vibibi vizee na uchunwaji wa ngozi etc. ambavyo vyote hufanywa chini ya mwamvuli ya utamaduni? Kuna tamaduni zetu za kufuatishwa ila tukubali si zote.
 
Back
Top Bottom