I DENNIS ROBERT SHUGHURU am not play by the rules

Katika mambo ambayo siogopi ni kukosea huo mtihani nilishafaulugu

Tanzania ni nchi inayonuka umaskini kila kona, hopeless and yet wananchi wake wanaogopa kukosea
SAsa mkuu hukubali kukosea, unapewa usahihisho unaweka maneno mengi ya kazi gani. Ndo hoja yangu ya msingi

Tatizo wengi mnachukulia kama mtu akisahihisha ni kama anakucheka
 
Kubali usahihisho bila maneno mengi mkuu, tofauti na hapo msemo wa "siogopi kukosea" utakuwa ni msemo wa kisiasa tu, maana asiyeogopa kukosea huwa tayari kujifunza
Hakuna sehemu nilipokosea
Wewe endelea kuamini nimekosea mimi sijakukataza
 
Reactions: Lax
Mkuu una kitu cha ziada na kikubwa sana. Keep it up. Positive mental attitude yako ni amazing.
 
Kwanza rekebisha heading , grammer haijakaa vizruri ni “i dont not play”
 
Huyu dish limeyumba chanel zake chenge
 
MIMI NI WINGA NA NALISEMA HILI PASIPO KUOGOPA AU KUONA AIBU TUNAJUA HUKU JAMIIFORUM KILA MTU ANAVIMBA ILI AONEKANE ANA FEDHA MIMI SIO MASKINI WALA TAJIRI
 
Heshima yako raisi mtarajiwa ,usitusahau walevi kaka ,ona sasa mbeya ni wiki mbili hakuna serengeti wala balimi wala kilimanjaro na raisi hasemi neno wala kuomba msamaha .

Nenda kaka ,nenda sisi tuko nyuma yako raisi
 
My spiritual life are❌
My spiritual life is ✅
Unaweza tumia is na and kwenye sentencing moja

Naona hajakosea amesema are chaotic, painful and legendary
Kutumia are ni sahii

Au nieleweshe niko tayari kujifunza mimi kijeba kijeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…