I DENNIS ROBERT SHUGHURU am not play by the rules

I DENNIS ROBERT SHUGHURU am not play by the rules

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,167
Reaction score
6,177
Sina historia ya kuwa kiongozi serikalini, sina historia ya kuwa mwanachama wa chama chochote na watakaoniweka madarakani ni nguvu ya wananchi

Sina umri wa miaka wa kikatiba wa kugombea Urais ila nipo kwenye kinyanganyiro cha urais narudia tena nguvu ya wananchi ndo watakaoniweka madarakani

MIMI NI WINGA NA NALISEMA HILI PASIPO KUOGOPA AU KUONA AIBU TUNAJUA HUKU JAMIIFORUM KILA MTU ANAVIMBA ILI AONEKANE ANA FEDHA MIMI SIO MASKINI WALA TAJIRI
sijasoma masomo ya science niliyakimbia tokea form two ila idea za science nilizokuwa nazo ni za ki-legend sijisifu hapana ndo ukweli

My spiritual life are extreme chaotic, painful and legendary, also it feel with test and never ending challenges

Kidole changu cha mwisho ni kinene kuliko kiuno changu
 
Sina historia ya kuwa kiongozi serikalini, sina historia ya kuwa mwanachama wa chama chochote na watakaoniweka madarakani ni nguvu ya wananchi

Sina umri wa miaka wa kikatiba wa kugombea Urais ila nipo kwenye kinyanganyiro cha urais narudia tena nguvu ya wananchi ndo watakaoniweka madarakani

MIMI NI WINGA NA NALISEMA HILI PASIPO KUOGOPA AU KUONA AIBU TUNAJUA HUKU JAMIIFORUM KILA MTU ANAVIMBA ILI AONEKANE ANA FEDHA MIMI SIO MASKINI WALA TAJIRI
sijasoma masomo ya science niliyakimbia tokea form two ila idea za science nilizokuwa nazo ni za ki-legend sijisifu hapana ndo ukweli

My spiritual life are extreme chaotic, painful and legendary

Kidole changu cha mwisho ni kinene kuliko kiuno changu
Man, stop getting high on your own supply. I can see day after day your shit is getting realer.
 
Okay Ila kuna njia mbili za kuongea

-Kuongea kwa ufahamu wako
-Kuongea kwa ufahamu wa watu.

Unajua wewe unaongeaje?
Mzee wa genetics kafanya kazi yake kamaliza hakuna aliyemwelewa kamaliza kafariki baada ya miaka 10 ndo wanakuja kumuelewa

Vicent van gogh kachora picha zake zaidi ya elfu moja hakuna aliyemuelewa kafariki katika umaskini baada ya miaka 9 ndo watu wanaona thamani ya picha zake kumbuka picha alizochora ni moja ya picha expensive duniani

Yesu kaja kafanya aliyofanya hawakumuelewa kafariki ile leo ana legacy na wafuasi zaidi ya billion

Narudia tena historia nzuri haikuandikwa vizuri iliandikwa kwenye hali ya kukataliwa na mateso
 
Back
Top Bottom