Aisee usiwasikilize hawa watu mwambie na pia mshirikishe katika kupima. I know atakasirika at frist, but kama nimtu mwenye akili na busara she should be able to understand the gravity of the situation and appreciate your honesty.
Uyu bwege kagongeza kisawasawa af anatuzuga hapa ndio maana hajiaminiYani umwelezemchumba wako ulitaka kuchepuka upate relief?
You cat be serious! Ni heri ufe na mzigo wako moyon mwako, sababu umeshayasema hapa kiasi kikubwa cha mzigo nahisi kitakua kimekuondokea, na ukithubutu kumwambia hata hiyo ndoa sidhani kama itakuwepo tena
Wakati mwingine mjuage bas kusema na tamaa zenu, mtu humjui mmekutana tu juu juu unamwamini kiasi gani kumwingiza kwako na kumfanyia yote haya, yan maisha yako ulikua unayweka rehani mwenyewe kwa tamaa tu
Kama hakupata wala ww hukuwa na michubuko maambukizi kupata chance ni ndogo sana subiri tu huo muda utimie ukapime ujiridhishe au kama unaona unawaswas sana ungeenda hospital kuna dawa flani ungepewa wakat unakua kwenye window period
Hope utakua umejifunza.
Huyo mwanamke nae chenga tuu.Yani umwelezemchumba wako ulitaka kuchepuka upate relief?
You cat be serious! Ni heri ufe na mzigo wako moyon mwako, sababu umeshayasema hapa kiasi kikubwa cha mzigo nahisi kitakua kimekuondokea, na ukithubutu kumwambia hata hiyo ndoa sidhani kama itakuwepo tena
Wakati mwingine mjuage bas kusema na tamaa zenu, mtu humjui mmekutana tu juu juu unamwamini kiasi gani kumwingiza kwako na kumfanyia yote haya, yan maisha yako ulikua unayweka rehani mwenyewe kwa tamaa tu
Kama hakupata wala ww hukuwa na michubuko maambukizi kupata chance ni ndogo sana subiri tu huo muda utimie ukapime ujiridhishe au kama unaona unawaswas sana ungeenda hospital kuna dawa flani ungepewa wakat unakua kwenye window period
Hope utakua umejifunza.
Asante kwa ushauri mkuuKapime baada ya mwezi mmoja. Halafu baada ya mwezi mwingine. Kama anatumia dawa na anatumia ipasavyo, hata mngefanya isingekuwa na shida.
Huna haja ya kumwambia mchumba wako kilichotokea. Ukweli mwingine utakuweka huru lakini sio huo. Kuhusu jigijigi, mwambie mchumba wako umeambiwa na Dr. una UTI kali na kwa sasa unatumia dawa. Kuna UTI ambayo unaweza ukatumia dawa hata miezi mitatu.
AiseeUNGEPATA TU
Poa mkuuDuuu mii ngoja nifanye mchakato w kula kwanza narud unisubir hpo hpo
Ni kweli mkuuAisee pole sana inaonyesha wewe ni mtu mwema sana ibilisi alikubana tu. kwa maelezo yako Mungu akusaidie uwe salama na usirudie
Ni kweli mkuu.Angekuua tu...shubaaamit!!
Mungu alikupa hekima ya kumkataa na ukafanikiwa kujiepusha nae tena unakuja kumtafuta na kumtamani...aisee!!
shukuru sana huyo dada alikupenda kweli la sivyo angekufanyia kusudi tu akuache uingie,
mwanzoni nimependa msimami wako lkn umekuja kuharibu baada ya kumUnblock na kumkaribisha nyumban kwako,
halafu pia hujamfanyia vyema mpenzi wako na heri usimwambie tu maana utamuumiza na kumuweka ktk wakati mgumu, just imagine ndo yy aje akupe habari kama hyo ungefanyaje...??
Wanaume tupunguze tamaa za kijinga wakati mwingine...sisi ni wadhaifu sana kwa hawa wenzetu ss tukijifanya wajuaji tutapoteaa.
na muhurumia huyo mke wako mtarajiwa tu kwakweli.
Of course things won't be the SAME no more but that is not a valid excuse for him to NOT come clean. In fact, I would argue huu usiri ambao watu are encouraging him to maintain is one of the causes that make this disease epidemic. Kama sasa tu anajikanyaga kusema akija kupewa majibu hovyo je!!? Aisee msicheze na maisha ya watu 😡 [HASHTAG]#actionsandconsequences[/HASHTAG]Anaweza fanikiwa kwenye hili ila ajue kwa uhakika kabisa THINGS WILL NEVER BE THE SAME kwa yeye na mpenzi,thats if he'll dodge being dumped.
Ye apige kimya,acheki after three months,kama yuko poa aendelee na maisha tu au kama kanasa asiue mtoto wa watu aseme ukweli wa ilivyokua bhaaas.some skeletons are better off in the closets,and ONLY there!
Nakuelewa mkuuOf course things won't be the SAME no more but that is not a valid excuse for him to NOT come clean. In fact, I would argue huu usiri ambao watu are encouraging him to maintain is one of the causes that make this disease epidemic. Kama sasa tu anajikanyaga kusema akija kupewa majibu hovyo je!!? Aisee msicheze na maisha ya watu 😡 [HASHTAG]#actionsandconsequences[/HASHTAG]
Pole kaka yangu (hata mimi ni wa moshi kama nyie) ila wewe mwambie mchumba tu. Also, pray to God that you are well na pia akusaidia liwe fundisho la maisha!Nakuelewa mkuu
I will...Pole kaka yangu (hata mimi ni wa moshi kama nyie) ila wewe mwambie mchumba tu. Also, pray to God that you are well na pia akusaidia liwe fundisho la maisha!
Not only uhuru, I think pia once you're cleared, you can use the disclosure to mend the broken trust i.e. You can tell her "Swiry, kama nilikuwa sikupendi ama kukuthamini I could've chosen not to let you know na usingejua". (Im sure you know what I am trying to say, lol ) . Ila be ready maana unaweza kuachwa pia.I will...
She is a doctor, na ni mwepesi sana kutake action! Binafsi ninahisi kuna uhuru nitaupata nikimweleza.
much worse I am not ready to loose her.
Itani cost sana mkuu lazima nijipange sana mkuu, nampenda na ana hasira.
ni kweli, iliwahi kutokea tofauti moja mwaka jana...action aliyochukua iliniogopesha sanaNot only uhuru, I think pia once you're cleared, you can use the disclosure to mend the broken trust i.e. You can tell her "Swiry, kama nilikuwa sikupendi ama kukuthamini I could've chosen not to let you know na usingejua". (Im sure you know what I am trying to say, lol ) . Ila be ready maana unaweza kuachwa pia.