Waiting for the Time!!
Kwani ni muda gani umepita tangu yamekutokea hayo,, kama mwezi mmoja tayari nenda tu ukapime usisubiri miezi yote mitatu , kwani vipimo vinavyotumika sasa ivi vina detect maambukizi mapya kwa muda wa mwezi mmoja tu, na sio mitatu kama zamani, so usjipe stress kwa kipind chote hicho,Waiting for the Time!!

WATU SIJUI WANATAKA NINI MAISHANI.WATU WANA MAHUSIANO HUKO BADO WANATAFUTANA SIJAWAELEWA HAWA WATUAngekuua tu...shubaaamit!!
Mungu alikupa hekima ya kumkataa na ukafanikiwa kujiepusha nae tena unakuja kumtafuta na kumtamani...aisee!!
shukuru sana huyo dada alikupenda kweli la sivyo angekufanyia kusudi tu akuache uingie,
mwanzoni nimependa msimami wako lkn umekuja kuharibu baada ya kumUnblock na kumkaribisha nyumban kwako,
halafu pia hujamfanyia vyema mpenzi wako na heri usimwambie tu maana utamuumiza na kumuweka ktk wakati mgumu, just imagine ndo yy aje akupe habari kama hyo ungefanyaje...??
Wanaume tupunguze tamaa za kijinga wakati mwingine...sisi ni wadhaifu sana kwa hawa wenzetu ss tukijifanya wajuaji tutapoteaa.
na muhurumia huyo mke wako mtarajiwa tu kwakweli.
wanajitoa ufahamu tu! ila ni ujingaWATU SIJUI WANATAKA NINI MAISHANI.WATU WANA MAHUSIANO HUKO BADO WANATAFUTANA SIJAWAELEWA HAWA WATU
ndo ujiulize watu wanaoana ili nini?wanajitoa ufahamu tu! ila ni ujinga
Yani umwelezemchumba wako ulitaka kuchepuka upate relief?
Wakati mwingine mjuage bas kusema na tamaa zenu, mtu humjui mmekutana tu juu juu unamwamini kiasi gani kumwingiza kwako na kumfanyia yote haya, yan maisha yako ulikua unayweka rehani mwenyewe kwa tamaa tu