I cant stand the rejection

I cant stand the rejection

Dont we all wanna feel loved? But sometimes you have to stop and evaluate yourself. What are your desires? Whom do you seek, is it the right time? etc.etc
Thanks alot, i will work on it but for the time being iam tired of rejections
 
Ok, hata hivyo pole sana,, najua hali uliyonayo kwa sasa jipe muda tu,,,,,ni swala la wakati, nilishasema mapenzi ni dunia nyingine kabisa inayojitegemea,,,,ukiwa katika hiyo hali unaweza kufanya kitu ambacho baadae ukishakuwa vizuri unaweza kuanza kujishangaa mwenyewe,, hebu fikiria kabla ya huyo je hukuwa na mwingine?,,je ilikuwaje wakati mnaachana?,,, naamini kama ulikuwa nae na mkaachana baade ukawa vizuri, naamini hata huyu itakuwa hivyo hivyo,,jichanganye maisha yataenda tu hauko peke yako ni janga la wengi,,,

worrrrdddd..
yn umeuwa ndege wawil kwa jiwe moja....am personally touched.
 
I love to feel loved but I cant the stand rejection, I tried to a seduce in different manners and techniques but it seems that the fortune is not mine. It seem that I have been running in the wrong direction:sad:

mhhh pole rfk... mwenzio an tired kutongozwa na married guys na wazee wenye 50+. I want young and adult guys... bt they dnt show up...tired.
 
mhhh pole rfk... mwenzio an tired kutongozwa na married guys na wazee wenye 50+. I want young and adult guys... bt they dnt show up...tired.
Asante but nyie huwa mnakataa young and adults and go for elders 50+,,for now I think its enough
 
Nilijishawishi kuielewa post na jina lako kama ni ya kiume ila maudhui na jinsi ulivyoifikisha kwa kulalama sana nikapata mashaka na hilo, ndio maana nikaulizia jinsia yako mkuu. Sorry for that

Back kwenye topic sasa, vibuti ni kawaida mkuu ila vikizidi sana ni tabu. Kuna sehemu utakuwa unakosea na haswa hiyo seduction part...wanawake wengi wanatafsiri kuwa umewatamani tu na unataka ile hit and run model

Mimi mwanaume bhana,,ukisoma post vizuri utaelewa jinsia so jaribu kuelewa post kabla ya kujibu
 
I love to feel loved but I cant the stand rejection, I tried to a seduce in different manners and techniques but it seems that the fortune is not mine. It seem that I have been running in the wrong direction:sad:



Wewew ni Mjinga wa kutupwa
Wapenda umiza kuumizwa aah
Soma kiambatanisho kwa ufahamu
 

Attachments

Similar Discussions

Back
Top Bottom