I love to feel loved but I cant the stand rejection, I tried to a seduce in different manners and techniques but it seems that the fortune is not mine. It seem that I have been running in the wrong direction:sad:
Ungetumia lugha ya Taifa ungeeleweka vizuri zaidi,,,,wakati mwingine unapotoa thread ili usaidiwe inatakiwa ukae utulie na ushirikishe halmashauri ya kichwa chako ili uweze kueleweka mkuu
hahaha hivi hauko kwenye viti virefu kweli wewe
Kiukweli mkuu nadhani lugha sio tatizo,nimejaribu kutulia na kuweza kuufikisha ujumbe kwa hadhira,hata hivyo nashukuru kwa ushauri wakoUngetumia lugha ya Taifa ungeeleweka vizuri zaidi,,,,wakati mwingine unapotoa thread ili usaidiwe inatakiwa ukae utulie na ushirikishe halmashauri ya kichwa chako ili uweze kueleweka mkuu
Ila mkuu chaga zinaumiza sana,asikuambie mtu we sikia kwa jirani tu
I love to feel loved but I cant the stand rejection, I tried to a seduce in different manners and techniques but it seems that the fortune is not mine. It seem that I have been running in the wrong direction:sad:
I love to feel loved but I
cant the stand rejection, I tried to a seduce in different manners and
techniques but it seems that the fortune is not mine. It seem that I
have been running in the wrong direction:sad:
Kiukweli mkuu nadhani lugha sio tatizo,nimejaribu kutulia na kuweza kuufikisha ujumbe kwa hadhira,hata hivyo nashukuru kwa ushauri wako
hahaha hivi hauko kwenye viti virefu kweli wewe