Wakuu hope mu wazima!!
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, i am gantle man with 29yrs old, sijaoa bado. Nilikuwa na Girlfriend yapata miaka mitatu (3) iliyopita ambaye nilimpenda saana na nilimuona kila kitu kwangu. Kulingana na hali ya maisha na kiuchumi nilishindwa kuhalalisha mahusiano yetu.. Japo nyumbani alikuwa anafahamika. Mwenzangu ghafla akabadilika na akanisaliti na baada ya miezi tisa akafunga ndoa na jamaa mwingine.. Nilisononeka mno, wazazi pamoja na marafiki walifanya kazi ya ziada ya kuniweka sawa kwani nilichanganyikiwa.
Ilinichukua muda takribani mwaka mmoja nikawa sawa na nikaikubali hali.
Kutokea wakati huo nimepoteza kabisaa hali ya upendo ndani yangu. nimejaribu kuingia katika mahusiano mengine lakn najikuta ndani yangu sina upendo na binti ninayekuwa naye. Hata ile hali ya kumwonea wivu mwenzi wangu imeondoka kabisaa. Najiona umri umesonga natamani niingie katika ndoa lakn ghafla ile hamu inaondoka. Natamani nimpate mwanamke nitakayempenda kwa dhati, nitakayemweshimu na kumthamini, sielewi nifanye nn ili niweze kupenda sana kama ilivyokuwa awali, wataalamu wa psychology naombeni mnisaidie kwa hili..
asanteni