Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
ambo vipi wana JF nilikuwa na mpenzi wangu wa kike but mahusiano yetu hayakuwa mazuri coz amenicheat na ameconfess so nikaamua iachane naye though sijamtamkia but ashajua kama ntka nimuache nw kasafir kaenda nje ya nchi kusoma natamani sana nimtoe ktika mawazo yangu lakini kila ninavyojitahidi ni kama vile nashindwa nilijaribu kumpotezea bila hata ya salamu kama siku 3 hivi lakini alivyonianza tu nilijisikia kuridhika naimkajibu thena nikampotezea kama wiki nilivyoona kimya kimezidi nikamuanza mimi,naombeni ushauri nifanyaje nw nataka nimuache kabisa kwa sababu najua kwamba i cant get the right without letting go of the wrong one ila tatizo ni kama vile i cant let her go please nishaurini nifanyeje niwezekumsahau nishamwambia maneno ya hovyo ili anichukie lakin wapi hana hata mpango wa kunichukia...