Hata huyo dc sio muislam kwakuwa alishauacha na kuhamia ukristo baada ya kupata mafundisho na kufunga ndoa kanisani.
Hata siku ya kukamatwa kwake na cdm alikuwa na ushungi kichwani wala hakuwa amevaa hijab bali sketi fupi.
Zinazoendelea hapa ni propaganda za chama kilichopoteza haiba na mvuto kwa wana wa nchi kupitia baadhi ya viongozi wa dini ili wapate wafuasi.
Ni upuuzi tu!?
OMG......yaani nikisikia haya maneno namwonea huruma sana mumewe mzee wa kanisa wa watu....lol, maana haya maneno yanawatoka tu vijana hapa na mzee sijui anasimamaje kule kanisani kusoma matangazo na kushauri wake za kondoo anaowasimamia.....lol!!!