I call this kid Jembe!!!!!!!

I call this kid Jembe!!!!!!!

dogo kamandaa anakomando ming'ombe dunia na yenyewe haiangalii kamtu kenyewe ni kadogo yanafata tu. hizi ni Tamaduni njema za kiafrika tulizo shindwa kuzimordenize.
Labda asinge hitaji kwenda shule milelel kwani hiyo ni shule pia,
 
Hiyo ni tofauti kubwa kati ya wanyama na binadamu, wanyama wamepungukiwa ufahamu aliopewa binaadamu, ndiyo maana wanaongozwa na dogo na wanatii!
 
Kwanza nakubali dogo ni jembe ile mbaya
Ila usisahau na uwezo wa MUNGU kumfanya dogo kama huyo kutoa amri na MIGOMBE yote ikawatii
KWELI WAKUU MUNGU MKUBWA

Sana tuu Mkuu... Mungu mwacheni aitwe Mungu. Nimekumbuka kwenye Bible Mfalme Daudi alivyokuwa mdogo
 
Yani madogo wa jamii ya wafugaji ujasiri wanauanza toka wachanga. Afu huko mbugani hata wakikutana na wanyama wakali wao peace tu maana technique zote wanazijua wao
 
ila wafikiri wenzie wa umri huo wako wapi kwa sasa? je yepi yatakuwa maisha yake 10-20yrs to come??
the hidden truth, never told till 10 to 20 years! si unamwona hata hana viatu na utajiri wote huo!? so strange!!!!
 
Siku hizi mambo yote "mpini" jembe linatundu katikati.
 
yani huyo dogo ananikumbusha enzi zangu 90s
kipindi hicho bariadi (now simiyu) daaah kama
mimi vile yani.kijijini masewa. ama kweli
jasiri haachi asiri.
 
Mie hapo naona child labour tu, huyo dogo wanamkomaza kwa kazi za watu wazima.
 
I love this
Inanikumbusha mbali, dah
Tumetoka mbali
 
ila wafikiri wenzie wa umri huo wako wapi kwa sasa? je yepi yatakuwa maisha yake 10-20yrs to come??

Hiyo haijalishi wengi wetu tuliofika vyuo vikuu tumetoka kwenye maisha kama hayo yaani wengine kwa umri huo walijua hata kulima, kuvua samaki n.k .Matoto yetu tunayadekeza sana siku hizi na ndiyo maana ha DIV 1 za pointi tatu na saba zimeisha kuwa ndoto kwa sasa tunayapa maisha mteremko sana yanasoma huku yanatumia simu na matokeo yake ndiyo zeros zaongezeka.
 
He he he, Bupandagila inahusika sana
Na mitaa ya mahaha, ulikuwa unakuja gulioni?

Mie hadi kesho, lazima hao wanyama wawepo ili nisijisikie niko home, tena si mmoja bali kundi kuuubwa, so lovely.

yani huyo dogo ananikumbusha enzi zangu 90s
kipindi hicho bariadi (now simiyu) daaah kama
mimi vile yani.kijijini masewa. ama kweli
jasiri haachi asiri.
 
Heh, unadhani uwajibikaji unaanza kufundishwa mtu akiwa na umri gani?

Kwani anafanya kwa ajili ya mshahara?

Ina maana wewe kwenu hukuwahi fanya kazi hata kuosha vyombo?

Mie hapo naona child labour tu, huyo dogo wanamkomaza kwa kazi za watu wazima.
 
Back
Top Bottom