Hakunaga kitu kama hichoTajiri wa Mali, Fukara wa Fikra.
Kuna Tofauti kati ya AKILI na FIKRA. Nadhan Tuongelee FIKRA maana akili Kila mwanadamu awae yeyote yule anazo Ila tumetofautiana Viwango.Hakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
Well, Nikuache kidogo. Ila Fanya Kutafuta maana na tofauti kati ya Vitu hivyo viwili kisha Urudi Tena kwenye hii Replay ndio tunaweza Zungumza.Hakuna tofauti hapo mkuu just nomenclature
Watoto alizaa akiwa sekondari na chuo..baby mamas wake wote wameolewa ..walimwaga kwa sababu hakuwa na kituUnajua nzi akiingia ndani ya kopo lenye asali anaweza ona dunia yote ni ya kwake hakuna kingine yeye ndio mwisho kumbe anajisahau kuwa nzi yule atafurahia asali ile lakini anasahau akila akishiba mabawa yatakuwa yamelowa hataweza kutoka tena atafia humo.Kama hataki kuoa ajiulize mbona anazaa ajabu zaidi watoto watatu kwa wanawake wawili tofauti anashindwa kujua hapo tayari ameshaoa lakini sio rasimi ajue hao wanawake wawili tofauti vile wanajua ana hela kila mmoja anamgombea wanaweza muonea wivu mmoja akasema ngoja tukose wote akampeleka kaburini.Take care mdogo wangu hapana marefu yasiyo na nchi.Mi nilishaona mtu alipata Bilioni2 miaka mingi ya nyuma ukikutana naye anakuomba hela ya nauli na kiafya simuhukumu ila sio mzima
Floyd Mayweather ana akili kuliko Barack Obama??Hakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
Atambariki kwa lipi wakati keshajibariki kwa jitihada zakekaka oa, oa na Mungu atakubariki, kumbuka umepewa bure naye yeye, au oa hao uliozaa nao,