I am too Rich to get married

I am too Rich to get married

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,303
Sio maneno yangu ni maneno ya broo mmoja wa kitaani kwetu..He is in his late 30s.Alimalizaga pale Udsm miaka ya 2008 ..mwaka ulio fuata akaenda zake Moz kutafuta utajiri kupitia madini ya Ruby.Mungu kamletea heri sasa hivi jamaa ni bilionea ( In terms of Tshs) .

Kwa ufupi jamaa ana " mzigo" wa kutosha ..
He got three children from 2 different women ..

Jana usiku tulikuwa na wadau kadhaa tunabadilishana NAE mawazo ..akatuambia jinsi Wazazi wake wanavyo msumbua aoe.

Jamaa anasema hawezi kuoa kwa sasa kwa sababu yeye ni tajiri sana..
" Wadogo zangu kuna kiwango cha pesa ukiwa nacho kuoa ni risk sana ..Sasa hivi Mimi sihitaji kuoa ..Ndoa ni swala linalo fanywa na watu masikini...Ningeweza kumuoa mwanamke ambae ningekuwa nimeanza kuhustle NAE hadi kufikia mafanikio niliyo nayo ..

But kwa mafanikio niliyo nayo sihitaji mwanamke wa kuoa ..

Tukampa mfano wa Mengi mbona yeye tajiri sana lakini kamuoa Ntuyabaliwe..

Jibu lake "Mengi ni mzee MTu mzima..He has nothing to loose..Mimi bado kijana bana hata miaka arobaini bado sijafikisha.."

Kwa ufupi anasema ukiwa tajiri mwanamke atakuja kwako kwa ajili ya Mali zako na uwezekano wa kukuua ili amiliki Mali zako ni asilimia mia..

Guys do u agree with him ?
 
may be but me nadhan angetuliza akili na atazame wap anaweza mpata mwanamke sahihi na ni mazingira yap wanapatikana wanawake sahihi
 
Amekuambia pia kuhusu afya yake? Maàana ruby ya montepuez imebeba wengi. Kutoa dollar 1000 kwa papuchi sio mchezo
 
Hakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
Kuna Tofauti kati ya AKILI na FIKRA. Nadhan Tuongelee FIKRA maana akili Kila mwanadamu awae yeyote yule anazo Ila tumetofautiana Viwango.
 
Kuna Tofauti kati ya AKILI na FIKRA. Nadhan Tuongelee FIKRA maana akili Kila mwanadamu awae yeyote yule anazo Ila tumetofautiana Viwango.
Hakuna tofauti hapo mkuu just nomenclature
 
kaka oa, oa na Mungu atakubariki, kumbuka umepewa bure naye yeye, au oa hao uliozaa nao,
 
Unajua nzi akiingia ndani ya kopo lenye asali anaweza ona dunia yote ni ya kwake hakuna kingine yeye ndio mwisho kumbe anajisahau kuwa nzi yule atafurahia asali ile lakini anasahau akila akishiba mabawa yatakuwa yamelowa hataweza kutoka tena atafia humo.Kama hataki kuoa ajiulize mbona anazaa ajabu zaidi watoto watatu kwa wanawake wawili tofauti anashindwa kujua hapo tayari ameshaoa lakini sio rasimi ajue hao wanawake wawili tofauti vile wanajua ana hela kila mmoja anamgombea wanaweza muonea wivu mmoja akasema ngoja tukose wote akampeleka kaburini.Take care mdogo wangu hapana marefu yasiyo na nchi.Mi nilishaona mtu alipata Bilioni2 miaka mingi ya nyuma ukikutana naye anakuomba hela ya nauli na kiafya simuhukumu ila sio mzima
 
ili ufikie kwenye utajiri maana yake kuna wanawake wengi umeshanyanyasa, pia kuna shughuli nyingi za kimafia umeshazifanya. kinachomsumbua uyo ni uoga kua watu wanaweza kulipiza kisasi kupitia mkewe. ndiyo maana mpaka sasa hana mwanamke anaemuamini.
 
Unajua nzi akiingia ndani ya kopo lenye asali anaweza ona dunia yote ni ya kwake hakuna kingine yeye ndio mwisho kumbe anajisahau kuwa nzi yule atafurahia asali ile lakini anasahau akila akishiba mabawa yatakuwa yamelowa hataweza kutoka tena atafia humo.Kama hataki kuoa ajiulize mbona anazaa ajabu zaidi watoto watatu kwa wanawake wawili tofauti anashindwa kujua hapo tayari ameshaoa lakini sio rasimi ajue hao wanawake wawili tofauti vile wanajua ana hela kila mmoja anamgombea wanaweza muonea wivu mmoja akasema ngoja tukose wote akampeleka kaburini.Take care mdogo wangu hapana marefu yasiyo na nchi.Mi nilishaona mtu alipata Bilioni2 miaka mingi ya nyuma ukikutana naye anakuomba hela ya nauli na kiafya simuhukumu ila sio mzima
Watoto alizaa akiwa sekondari na chuo..baby mamas wake wote wameolewa ..walimwaga kwa sababu hakuwa na kitu
 
Hakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
Floyd Mayweather ana akili kuliko Barack Obama??
 
Huo ni ubinafsi na uchoyo.Kuoa na kuishi na mtu Ni sehemu muhimu ya maisha ya kila mtu.Jamii ndivyo ilivyojengwa.Kwenye phycology huyu anatatizo la akili au udhaifu Fulani na ajijui.Hizo pesa haziwezi kuwa mbadala ya familia au jamii .Anajifariji maskini
 
Back
Top Bottom