Hapo nilipoboldi naomba mifano haiMimi mapya nimesoma mbona? Kaizer, speak for yourself dude.
Wengine tunataka kuwekeza Chadema, so vitu hivi muhimu. Unachuja pumba na mchele.
. FacMimi msukuma, na weakness za wanawake wa kisukuma naziona na nazijua (especially kwenye mambo ya kujiendeleza)ts ni facts. Sio kashfa.
Wanawake wa kichagga ni go getters, something I love, na mtu mpenda maendeleo, hawa wanawake wako juu. Lakini kunavitabia ambavyo vinachambuliwa humu ni kweli mtupu. Sasa ni juu yako kuchambua what is good n what is not for you.
Personally, nakutana na wanawake wa kichagga zaidi kuliko kabila lingine, na sielewi kwanini, wakati kwa mfano wasukuma ni kabila kubwa.
Personally, I will pick a chagga woman anyday, sasa kama wewe unashindwa kucontrol vijitabia vyao, then u aint man enough, or just step to the side wanaume wawahandle hawa mabinti. If the kitchen is too hot, even i step to the side.
katika maisha kuna mambo mengi ya kuongelewa including watu.Feeble minded discuss people...great thinkers/minds discuss ideas! SHAME!
WANAWAKE WA KICHAGGA WAKO HIVI...WAKO VILE..WALINIFANYIA HIVI.... hawajui hiki.....wanapenda pesa..... mhhhhh..haijatosha tu?Nyie wanaume mliotendwa..does it pay anything kuja kulialia hapa?...mwanzo tuliwaonea huruma...ila sasa mnaanza ku bore na kuchekesha.
Hapo nilipoboldi naomba mifano hai
nazani hapo ilitokana na culture yao ya kumsomesha mwanamke eti hakuna faida maana ataolewa na kufaidisha kwingine,pili ndo maana wazazi wao wakawa wanawaozesha mapema.Ndugu, you will note I have been general in my post. Siwezi nikadiss kabila kwa specific mifano maana mimi ni product ya kabila hilo. Nasijadiss kabila la kichagga, na sitadiss kabila lolote. Ila yaliyosemwa humu nakubaliana nayo mengi.
- Nakupa mfano, wanawake wa kisukuma wavivu wa kisomo (note: there are exceptions).
- Wanawake wa kisukuma wako slow kutoa maamuzi (there are exceptions)
- Wanawake wakisukuma wana attitude ya "mapenzi ya mungu" when things dont work out
................................................................................................
On the other hand, wanawake wa kisukuma wako cultured, kama unapenda upewe heshima, magoti sijui nini haya...utapata sana. Wako welcoming, ambayo ni nature ya wasukuma in general.
Ukilinganisha na wachagga, hawako cultured, which may seem like bad manners for those who like shy, respecting sukuma women. Lakini hata siku moja huwezi lala njaa na mwanamke wa kichagga (yaani akili zao ziko fasta fasta).
nazani hapo ilitokana na culture yao ya kumsomesha mwanamke eti hakuna faida maana ataolewa na kufaidisha kwingine,pili ndo maana wazazi wao wakawa wanawaozesha mapema.
WANAWAKE WA KISUKUMA WALIOEXPOSED MBONA WANAPIGA TU SHULE KWA NGUVU ZOTE?
Kuhusu maamuzi na yote chimbuko linatoka kwenye kukosa kisomo
mbona kuna baadhi ya wanawake wa kichaga wachovu tu
Mimi naamini hata ukiwa na mwanamke wa kichagga mchovu, hulali njaa.
So if sukuma women are changing, arent chagga women changing too? Why not judge them as individuals then?
Mimi nadhani ishu ni kwamba, Chagga women are strong characters and most Tanzanian men (if not african men) are afraid of strong women.
on the other way unaamini kuwa hata uwe na mwanamke msomi let say msukuma utalala njaa.Mimi naamini hata ukiwa na mwanamke wa kichagga mchovu, hulali njaa.
So if sukuma women are changing, arent chagga women changing too? Why not judge them as individuals then?
Mimi nadhani ishu ni kwamba, Chagga women are strong characters and most Tanzanian men (if not african men) are afraid of strong women.
Nimesema "most". The fact hao successful wasukuma wameoa uchaggani ni kwasababu wameona value ya strong woman. Tafadhali soma vizuri uelewe.on the other way unaamini kuwa hata uwe na mwanamke msomi let say msukuma utalala njaa.
Sidhani kama wanaume wanawaogopa wachaga,na most of wanaume wasomi na wenye majina makubwa wa kisukuma wameoa uchagani je hawa hawana uoga?
Any way kila mtu anavyoona
katika maisha kuna mambo mengi ya kuongelewa including watu.
Hii kweli kali, so upande wa pili ni mademu(kabila) gani wanafaa kuolewa??
Wasukuma, Wamasai, Wanyamwezi.
Nakubaliana na wewe generalisation sio proper. Lakini sasa, wewe huwezi kutoa judgement nzuri kwa sababu mama na mke ni wachaga. Maana kama umekulia ndani ya mfumo na unaishi humo huwezi kuona nje ya BOX.
upo sahihi ndugu) kwa wanawake wa hili kabila asilimia zaidi ya 80 ndivo walivo.
Thus mi huwa nawakataa wakinitaka, akha!! nani anataka maproblem???
Yaani pakajimmy ulinonino bila nonino?Kuna watu ambao hata mambo physical kabisa wanataka ushahidi...thats hypocricy!.. Wewe unatoka sayari gani usiyejua ukatili wa wanawake wa kichaga, hasa wanaotoka Machame na sehemu zinginezo!Mimi pia nilishaathiriwa na wasichana wa hivyo kabla ya kuoa wa kwetu. Lakini pia niliachwa hoi siku moja msichana wa kimachame aliudhiwa na rafiki yake wa kiume jioni moja, akaamua kuja kwangu kulala bila hata ya kumtongoza, yani tulikuwa tunafahamiana tu mtaani! Uwongo nililala nae, si unajua kwenye ujana nguvu nyingi, na siku hiyohiyo akapata ujauzito. Ni story ndefu, lakini kimsingi ni kwamba baadhi ya wasichana wa kichaga wako HEARTLESS....si jambo la siri!
Mguu wa bia? kuna mwanamke wa kichaga mwenye mguu wa bia?ndugu we sema tu wana sura nzuri na wengi wao ni weupe lakini la mguu no!Mbali na hizo tabia zao za kuweka kitu kidogo mbele, tukija kwa urembo sio siri wengi wao wamejaliwa. Nilikuwaga na mmoja sio siri tulikuwa tukionganza nilikuwa naonekana ni kidume kweli kweli. Ile rangi yao ya chungwa na miguu ya bia wacha mazee.. utaendelea kuagiza tu mhudumu leta kilimanjaro nyingine...kuja kushtuka dah.. kamshahara ndio kameshakwisha..