Kuna namna mtu akikuambia unaelewa..ukiwa mwanaume rejection ni part of life
Toa ushabiki wako na wewe..Best ulikuwepo?
anatumia kufikiri kwa hisia sio akili
Nafahamu vizuri tu kwamba unatafuta mahali pa kunitumpia lawama kwa sababu wewe ni bingwa wa kupindua maneno kama Nyani Ngabu LOL
Toa ushabiki wako na wewe..
missed u lakin,upogo?
Hahaha nipogo mpenzi...mzima?
Una wapenzi wangapi?
Umesemaaa...?
Wivu wangu mpaka kwa kaka zako....
Yakheee, wasema alikuwaje 'huko nyuma?!' Huko visiwani mwatufurahisha sana ati! Ntakuja niwatembelee siku moja hv karibuni, lol!Ushaanza ukuda na udukuzi
Hivi ni nani alokuroga siku hizi weye, wala hukuwa hivo huko nyuma