Price
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 1,502
- 922
Nakuhitaji pia
Umeanza eeehhhhh!!!
Nakuhitaji pia
Brother it was just a friend on line sikuona tatizo just to be a friend na nilimchukulia kama rafiki mwema na ndiyo maana alipojaribu ku cross the line nikawa mkali akanywea sasa ile kumwambia sitaki mume wa ku share akasubiri mkewe aondoke ndiyo a change gear wakati miye wala sikuwahi kuwaza kuhusu kuwa na mahusiano na yeye.Exactly...hii Inaitwa leading..una mlead Mwenzio halafu unamuita chizi kwa ku expect more from you
Niliposema siaki kuwa mke wa pili bali nataka mume wapeke yangu sikumaanisha amuache mkewe ili anioe. Niakuwa wa mwisho kufanya dhambi hiyo.Wewe ulimpa Mwenzio impression kuwa angekuwa single ungekubali...now unamlaumu....thru chatting uli entertain nyie muwe wapenzi...
Hivi kuna mwanaume wa siku hizi anayeweza kuambiwa kwamba hapendwi na mwanamke kisha akakubali tu kirahisi... ukiwemo wewe?Zinduna next time humpendi mtu mwambie tu humpendi na haitawezekana...ukianza mpa sababu why...ndo hivi ana assume kuna uwezekano hapo later
mh ndoa ilomshinda mwenzio jiulize wewe utaiweza?
Kuna namna mtu akikuambia unaelewa..ukiwa mwanaume rejection ni part of lifeHivi kuna mwanaume wa siku hizi anayeweza kuambiwa kwamba hapendwi na mwanamke kisha akakubali tu kirahisi... ukiwemo wewe?
Ndo nishamkataa sasa mbona uamuzi wangu waugeuza kuwa nongwa?
Hongera sana mkuu..
Hapa hakuna mkweli, hii post umeitengeneza (ukweli unao mwenyewe) ili ujisafishe upande wako, inawezekana umechangia jamaa amuache mtu wake kwa kumwahidi utakua nae kwa sharti la amuache mkewe kwanza. Sasa unakuja kupima maji huku jf......Nenda kamalizie your mission.
Adui wa mwanamke ni mwanamke .................
very true.. .