I am looking for temporary teaching chance

I am looking for temporary teaching chance

mmmmmh..zipo sehemu nyingi za kujifunzia kuboresha kiingereza chako, nadhani hapa si sehemu sahihi. na ulivyo fedhuri na bedui unashupaza shingo eti huoni tatizo na hiyo lugha yako chafu eti kiingereza. mtu muungwana ni yule aliye tayari kujifunza.
We ni miongoni mwa watu ambao hawajaelimika hata kidogo! hauna lolote unaloweza kunishauri ni bora ungenyamaza tu! katika mada hii matusi yametoka wapi! nilichokuandikia ni kwamba niko tayari kwa interview yoyote wewe unacho jaribu kunilaumu na kunitukana ni kipi? watu wenye shule hawako hivi! elimu uliyonayo kama unayo haijakusaidia! try to be wise! ulikuwa unanifunza nini ili nijifunze! acha ujinga!
 
Kumbe bado hata hujahitimu masomo wee soma kwanza ukimaliza ndo utafute ajira mdogo wangu
ninachotafuta si ajira! niliuliza sehemu ya kufundisha kwa muda! ajira kwangu ni given! lakini watu wanaongea yao kama vile wao ni wataalam sana katika field zao nani asiyewajua wafanyakazi wa nchi hii! siogopi na wala sijidharau hata kidogo! najiamini na naweza kusimama nikachallengiana na yeyote.
 
It is difficult nearer to a camel crossing a hole of the sewinng needle for you to obtain a job of a kind if these lines are your serious grammatical sentences in the language you claim to teach.

haya maelezo yako hayana spelling errors kama wewe ni mtaalam wa kingereza!!! acha kujifanya much know ndugu yangu! huwezi kunihukumu kwa sentensi 2 nilizoziandika wakati na zako zina makosa yaleyale!
 
Mi sitafuti kazi hivyo sina haja ya interview, ww unayetaka tukupe watoto wetu uwaharibu ndo shida. Yaani kwa hicho kiingereza chako afu unataka kazi? Labda mi nina makengeza ngoja wakwambie. Ukweli jukwaa hili tunasaidiana kutokana na sekta tulizopo lkn unachoomba hakikufai. Mimi nime mis spell neno, ww umeandika kiingereza kibovu wkt ni teacher wake. Ubarikiwe ktk kazi yako utakayopata.
 
We ni miongoni mwa watu ambao hawajaelimika hata kidogo! hauna lolote unaloweza kunishauri ni bora ungenyamaza tu! katika mada hii matusi yametoka wapi! nilichokuandikia ni kwamba niko tayari kwa interview yoyote wewe unacho jaribu kunilaumu na kunitukana ni kipi? watu wenye shule hawako hivi! elimu uliyonayo kama unayo haijakusaidia! try to be wise! ulikuwa unanifunza nini ili nijifunze! acha ujinga!

usiwe mbishi wewe,hujaona makosa kwa sababu hujui, wewe utakuwa muha bila shaka
 
Mimi nina wazo pia kuwa, badala ya kuwakejeli wana jf ungekuwa mpole wakusaidie. Njia sahihi ungeandika kwa kiswahili badala ya kutumia lugha usiyoijua vizuri. Ninauhakika hadi muda huu ungeshawapata wa ku PM. Ila kwa kuwa ulianzisha uzi ili ubishe nakutukana watu si tatizo pia. Kama ulikuwa serious unatafuta kazi hebu pima hadi muda huu ni upande upi unapoteza kati yako na wana jf utajua.
 
usiwe mbishi wewe,hujaona makosa kwa sababu hujui, wewe utakuwa muha bila shaka

mtu hata akifanya makosa haimaanishi anastahili kudhalilishwa, tunatakiwa kuzingatia utu wa mtu kwanza kabla ya kuanza kumshambulia kwa maneno ambayo yako nje ya mada aliyouliza! mi nilisema nikotayari kwa interview bado natukanwa tu naambiwa sifai hata kidogo!!!!! kanakwamba ninyi ndo mko nondo baraa! siwezi kunyamaza! yes I am in need but with confidence. mtu hawezi kuninyanyasa nikakubari. makosa niliyoyafanya ya lugha ukiyasikia kwa mheshiwa rais utamwambia aondoke madarakani!!
 
Ninashukuru kwa michango yenu na changamoto tofautitofauti! ukweli mimi ni binadam kukosea ni kawaida kabisa hata kama ningekuwa nimesomea ulaya! wangapi wanakosea Kiswahili lugha ambayo tumekuwa tukiisikia? somo gani ambalo mnalijua lenye mwalimu aliyetoka mbinguni ambaye hakosei? nilivyoandika title yangu sikuwa na maana ya kufundisha fani zaidi sana nilitegemea watu wanisaidie juu ya dhamira iliyomo katika maandiko yangu, nasikitika tu kwamba kinyume chake nimewapotezea muda katika kujadiri mada hii ambayo pengine kulingana na Kingereza chake hamkuielewa!

Kitu nilichojifunza na ninacho kijua wana jf tunatabia ya kujadili mambo ya muhimu kwa mzaha na kejeli zisizo na sababu ambazo wala haziwezi kutusaidia katika jitihada zetu za kutafuta maendeleo!

Mnisamehe bure ndugu zangu! lakini nimakosa sana kuhamisha mazungumzo kuyapeleka kwenye chuki na hasira.
 
........ninyi ndo mko nondo baraa! ?...... yes I am in need but with confidence....... makosa niliyoyafanya ya lugha ukiyasikia kwa mheshiwa rais utamwambia aondoke madarakani!!

Ama kweli mbaazi akikosa maua!........ Mkuu Lack, ulitumia lugha mbovu kuanzia heading na watu wakashangaa kwann lugha ile ile unayoomba kufundisha ndo uliyovuruga! Hiyo ni moja ya interview kubwa sana kama hujui maana ndio hicho unachotaka. Unahitaji kitu na over confidence which is extremely negative to what you are trying to look for! Pamoja na makosa yote hayo umekataa kusahihishwa, sasa sijui ni nani mtu makini atakupa kazi. Ni bahati mbaya pia kuwa badala ya ww kujisahihisha na makosa yako au kuomba msamaha, umemrukia mkuu wa waajiri tena kwa kejeli, eti anastahili kuondolewa madarkani, nafikiri ukakae pale wewe! Mi sijui, ngoja members wakusaidie!
 
jinsi ulivyo mzito wa kuelewa na ulivyo mkaidi hata ukipata kazi utasumbuana sana na mwajiri wako kwasababu karibia wote waliochangia wanakuelewesha lakini wapi? msomi mzuri ni yule anayekubali kujifunza kutokana na Mimosa yake lakini wewe ni kichwa maji.
 
mtu hata akifanya makosa haimaanishi anastahili kudhalilishwa, tunatakiwa kuzingatia utu wa mtu kwanza kabla ya kuanza kumshambulia kwa maneno ambayo yako nje ya mada aliyouliza! mi nilisema nikotayari kwa interview bado natukanwa tu naambiwa sifai hata kidogo!!!!! kanakwamba ninyi ndo mko nondo baraa! siwezi kunyamaza! yes I am in need but with confidence. mtu hawezi kuninyanyasa nikakubari. makosa niliyoyafanya ya lugha ukiyasikia kwa mheshiwa rais utamwambia aondoke madarakani!!

Dah!we jamaa ni mbishi sijapata kuona.Sikia,hakuna sehemu ambayo binafsi naiheshimu na kuifurahia kama hapa JF.Humu kuna watu wenye fani mbalimbali,kuna walimu,madaktari wanasiasa,wachumi,wafanyabiashara nk.Ndo maana hakuna jambo lolote linaletwa humu linakosa utatuzi au ushauri,kikubwa mtu unatakiwa "ujishushe" ili upate mawazo tofauti.Unapokosolewa jua wanaokukosoa wanajua kuliko wewe."Muungwana akivuliwa nguo hainami bali huchuchumaa"
 
Ok, nimeelewa tumalize tu mjadala!
 
Dah! Tanzania ina kazi kubwa! This man called Lack has been studying English from O level to University and still commit these shit errors! Wonderful enough he doesn't need anyone to correct him! Ha ha haaa. Bahati yake anatumia jina fake!
Ndg yng mara nyingi ukweli unauma lakn vumilia ukuingie. Hata kama umemaliza univ usione soo, kuna institutions nyingi zinafundisha English walau kwa kukazia. Ili usiabike utakapopangwa kazi, please tumia muda huu ku-brush ka kiingereza kako! Hapa huonekani ila ni aibu kuchemsha mbele ya madent, watakutungia majina mpaka utajuta kujibu kifedhuri JF! Nakumbuka nilikuwa bingwa wa kuwatungia majina na kuwaumbua waalimu wazembe wa lugha ka wewe! Omba uckutane na vijana kama mimi!
Pole sana Mr. English!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom