I am looking for an investor/partner

_Flames

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
2,504
3,266
I'm 22yrs, living in Tabata Dar es Salaam dealing with Selling of Home Decorations...Though i don't have official office for now but I am more focusing in online sellings.

i think its time to have my official office/shop because it looks like I'm losing so many customers who would probably like to come to my office to see, buy or satisfy themselves before buying my products.

And there is a problem comes because i don't have enough capital to open a shop, ningeweza kuanzia kidogokidogo ila tatizo linakuja kwenye bidhaa ambazo nina lengo la kuanza nazo bado ni za high price kidogo na mimi bado sina uwezo wa mtaji huo.... What i know ni kwamba biashara nina ujuzi nayo na nina power ya kuvuta wateja na ushawishi, ninafahamu baadhi ya machimbo ya Bidhaa pia na pengine labda itafika hatua nitaanza kuagiza mwenyewe mzigo wangu nje.

Brand name yangu ni FLAMES INTERIOR, My aim isn't only to earn money but also to make sure of big name and more customers who will trust me, because I'm in love with what I'm doing so I'm doing this business from my heart nikiwa na imani kwamba siku moja nitakuwa mfanya biashara mkubwa.

mwenye uwezo wa kunisaidia, muda ninao PM pia ipo wazi... Pia tunaweza kuonana na kupanga mikakati.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
224,817
524,001

Tuwasiliane na kama una pi cha tupia
 
thanos

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,059
1,052

Kingereza cha nini sasa?
 
_Flames

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
2,504
3,266
Usiwajibu Hawa watakuchosha wanawivu sana utampata mtu tu
hehe, wananifurahisha sana... me, sodhani hapo kama kuna msamiati mgumu kueleweka ila anyway kama haito-work nitaandika uzi mwingine wa Swahili.
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom