I Am Looking For A Job.

eti "I posses excellent inter personal skills " kiingereza cha wapi hicho ndugu hahaaaa
Mtanzania akikosea kiingereza inakuwa shida, ila mwingereza akikosea kiswahili unaona sawa tu!

Wake up!
 
Studies taken: Procurement & Logistics Management.
Professional skills: Computer software ?!!!

Nadhani hizo professional skills ulizoweka hapo sio kwa ajili yako, bali ni kwa watu waliosoma mambo ya Computer/I.T as Profession.

Wewe profession yako kamili ni Procurement & Logistics Management. So weka skills ambazo ni directly linked and relevant to your profession.

Kwa wewe... hayo mambo ya computer software, Internet, Ms Word, Excel, etc yaweke kwenye category ya 'Other Skills'.

As such, unapojitangaza online in summary basis (an extract from your cv), waweza fuata mtiririko huu:

1. PERSONAL INFORMATION. Unataja gender, umri, marital status, nationality. Yes kama ulivyoanza. Hizi details ni muhimu coz kila mwajiri ana parameters zake kwenye kutafuta employees. Mwajiri anaweza kuwa anatafuta mfanyakazi wa umri fulani, au gender fulani tu, au ambaye not married, etc kutokana na sababu zake mwenyewe.
2. PROFESSION QUALIFICATION & SKILLS. Unaeleza the academic award you attained after completion of your studies. Ni kama ulivyosema kwamba "I am holding a Diploma in....". Kisha unaelezea skills ulizonazo ambazo ni directly relevant to your profession. Yaani unaweza kufanya nini kutokana na ulichokisomea.
3. WORK EXPERIENCE. Elezea uzoefu wa kazi ulionao. Hata kama ni fresh from school, weka uzoefu wa 'Field Work'. So utasema sehemu/shirika/kampuni ulipofanya kazi, title/rank yako ilikuwa ni ipi, na duties/responsibilities ulizokuwa ukiperform. Hii inamsaidia mwajiri kuona kuwa kweli skills ulizopata theoretically darasani umeshaziapply kwa vitendo, na ndo uzoefu wenyewe sasa.
4. OTHER SKILLS. Unataja ujuzi mwingine ulionao apart from your profession. Mfano hayo mambo ya computer software/programs application. Digital skills (photo editing, video shooting, n.k.). Driving skills with valid license, etc etc. Hapa panamvutia sana mwajiri coz waajiri wanapenda mfanyakazi mwenye multiple skills, kwamba atakuwa multi tasked.
5. LANGUAGE & LEVEL. Eeleza lugha ambazo unazimudu vyema. Mfano "I am Swahili native speaker. I am fluent in English & French, both spoken and written.
Pia ni vizuri kuweka several contact channels kwenye tangazo lako mitandaoni (kama hapa JF). So, apart from 'send me a private message', ongeza other means of swift contact. Coz it may happen you are in a situation that you can not access Jf for a while, but wasomaji ni wengi na wakaweza kuwasiliana nawe promptly kwa njia nyingine kama simu, email id.

Congrats kwa uwezo huo ulionao dada'ake, pursuant to your edu level. English yako ni nzuri. Ukiimprove itakuwa superb. Kuna watanzania wengi tu wasomi wa levo ya 'chuo chikuu' but they can't compose even a one page write-up kwa kizungu. Na ndo hao wamejaa maofisini as seniors. Hii lugha ya malkia inatia njaa aisee.
Otherwise nikutakie kila lakheri in your job hunt. May Almighty God be with you in this regard.
Zangu dua.

-Kaveli-
Thank You So Much Kaveli.... Umeniongezea kitu kichwani.
 
eti "I posses excellent inter personal skills " kiingereza cha wapi hicho ndugu hahaaaa

Be positive. Msahihishe alipokosea. Utakuwa umemsaidia kuimprove English yake.
Lakini unapobeza tu na kucheka pasipo kutoa usahihi unaotakiwa, basi Elimu yako haijakukomboa.

-Kaveli-
 
Hello Everyone,

Referring To The Heading Above,

I Am A Tanzanian Lady, 23 Years Old,
Holding A Diploma In Procurement & Logistics Management ', i posses excellent inter personal skills, self driven, innovative, able to work under minimum supervision, quick learner and highly self motivated, ability to produce quality output under tight deadlines and able to handle variety of activities concurrently.

My Professional Skills.
*Computer software
Microsoft Word
Microsoft Excel
*Good communication skills
*Good interpersonal skills
*Ability to work well in a team
*Good at problem solving techniques
*Ability to adapt to a change of working environment.

Person Attributes.
I am.... honest, responsible, good character, accountable and hard working.

Hobbies.
* typing and designing different types of documents
*interaction and social life in general
*Internet.

I can work in Clearing & Forwarding Companies, In procurement and logistics departments, and in any other departments that my knowledge and ability can fit in.
I can also work in any other places too,.
i. e Super markets
Food Firms
Hotels
Media Companies...

Please consider me and, send me a Private Message.
Thank You. .
Hongera kwa kupata Diploma.
Sitaki nirekebishe kiingereza kwa kuwa umeeleweka kuwa unahitaji kazi.

Ukiandika maombi ya kazi jitahidi kutumia maneno yako machache usinakili maneno ya watu wengine.

Jieleze kwa ufupi na hakikisha unachoeleza kinaeleweka.

Mambo kama hobby hayana maana sana katika kuomba kazi.

Ni vizuri pia ukawa na uelewa wa kazi zinazofanyika kwenye taasisi unayoomba kazi na useme wewe unawrza kuwa msaada katika shughuli zipi, walao kwa ufupi tu.

Nakutakia kila la heri
 
Thank you My Leader... Najifunza pia kupitia positive comments zenu... God bless you
 
Wabongo bana anaponda badala ya kumsahihisha mtu hayo ni makosa ya kimaandishi tuu ndugu dada nakupa hongera na mungu atakutangulia
 
Hello Everyone,

Referring To The Heading Above,

I Am A Tanzanian Lady, 23 Years Old,
Holding A Diploma In Procurement & Logistics Management ', i posses excellent inter personal skills, self driven, innovative, able to work under minimum supervision, quick learner and highly self motivated, ability to produce quality output under tight deadlines and able to handle variety of activities concurrently.

My Professional Skills.
*Computer software
Microsoft Word
Microsoft Excel
*Good communication skills
*Good interpersonal skills
*Ability to work well in a team
*Good at problem solving techniques
*Ability to adapt to a change of working environment.

Person Attributes.
I am.... honest, responsible, good character, accountable and hard working.

Hobbies.
* typing and designing different types of documents
*interaction and social life in general
*Internet.

I can work in Clearing & Forwarding Companies, In procurement and logistics departments, and in any other departments that my knowledge and ability can fit in.
I can also work in any other places too,.
i. e Super markets
Food Firms
Hotels
Media Companies...

Please consider me and, send me a Private Message.
Thank You. .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom