I Am Looking For A Job.

Miss Precious

Member
May 1, 2017
46
77
Hello Everyone,

Referring To The Heading Above,

I Am A Tanzanian Lady, 23 Years Old,
Holding A Diploma In Procurement & Logistics Management ', i posses excellent inter personal skills, self driven, innovative, able to work under minimum supervision, quick learner and highly self motivated, ability to produce quality output under tight deadlines and able to handle variety of activities concurrently.

My Professional Skills.
*Computer software
Microsoft Word
Microsoft Excel
*Good communication skills
*Good interpersonal skills
*Ability to work well in a team
*Good at problem solving techniques
*Ability to adapt to a change of working environment.

Person Attributes.
I am.... honest, responsible, good character, accountable and hard working.

Hobbies.
* typing and designing different types of documents
*interaction and social life in general
*Internet.

I can work in Clearing & Forwarding Companies, In procurement and logistics departments, and in any other departments that my knowledge and ability can fit in.
I can also work in any other places too,.
i. e Super markets
Food Firms
Hotels
Media Companies...

Please consider me and, send me a Private Message.
Thank You. .
 
Nakuunga mkono aisee...hii tabia ya kuchekana sisi kwa sisi ndio maana hatuendelei, amecheka halafu hajatoa suluhisho nini maana yake sasa! Ifike wakati tupendane sisi kwa sisi ili tuweze kusukuma gurudumu la maendeleo! Period
Word.
 
eti "I posses excellent inter personal skills " kiingereza cha wapi hicho ndugu hahaaaa

Mkuu tujitahidi tu kukidumisha na kukienzi Kiswahili chetu na hiki Kiingereza tuwaachie Wenyewe Waingereza. Hapo uliposema Quick replay ulitaka kumaanisha nini labda? Probably ulitaka kusema Quick reply Mkuu. Tukipende tu Kiswahili chetu na ' tusijitese ' kung'ang'ania Kiingereza ambacho Kwetu ni sawa na adhabu.


"Ukiwa na busara na uelewa wa kuelewa kua sote tulitoka kwenye matumbo ya mama zenu tukiwa hatuijui hata "a",.., tukakuta kitu kinachoitwa "KUJIFUNZA", basi hutopata shida kucheka makosa ya mtu kwenye kitu ambacho alijifunza kama wewe ulivyojifunza'..... (otherwise ulizaliwa tayari unajua).

Ukiachilia mbali lugha ya kingereza ambayo ni lugha tuliojifunza darasani, Kiswaili ni lugha yetu ya Taifa lakini bado kuna Watanzania wengi ambao wanakosea kwenye lugha hii hii yetu... (yamkini hata mimi naandika apa pia naweza kua nimekosea mahali, naruhusu kusahihishwa)...

"You might be running already while am still learning on taking steps, instead of laughing at me that i can't walk well, it would have sound better if you could hold my hands and stand to correct me"....

Thank You,
 
Mkuu tujitahidi tu kukidumisha na kukienzi Kiswahili chetu na hiki Kiingereza tuwaachie Wenyewe Waingereza. Hapo uliposema Quick replay ulitaka kumaanisha nini labda? Probably ulitaka kusema Quick reply Mkuu. Tukipende tu Kiswahili chetu na ' tusijitese ' kung'ang'ania Kiingereza ambacho Kwetu ni sawa na adhabu.
Mi mwenyewe nilikopi tu hapa hapa kwani maanake nini hiyo quck reply mkuu samahani lakini

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Umerudia tena ' Upumbavu ' ule ule. Nini maana ya ' quck reply ' kama ulivyoandika hapo. Usitake ' Bundesliga / Ligi ' na Mimi kwani ' utaumia ' tu.
Kuna jamaa apo juu kasema na wewe eti hujui
Ebu mjibu kwanza umemsahau kumjibu ukanikumbuka mimi tu mnyonge wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom