I am Gonna Marry You...........

I am Gonna Marry You...........

Mhhhh... Shemeji. Umenirudisha mbaaali sana. infact kama ilivyo kwenye maisha, wengi niliokuwa nimekaa nao (nikiwa mdogo sana, inasaidia tu kuwa ninakumbukumbu nzuri sana) kwa sasa wameshatangulia mbele ya haki.

Umenirudisha mitaa ya Ilala Flats, gorofa oposite na shule ya Boma Primary School......

Shida yangu sijiwezi mgonjwa wa raha zako

Raha zimezidi hadi maradhi......

Kweli Sikonge rahaa
 
Last edited by a moderator:
khaaaa, mwambie swtlady anirudishie ile dictionary yangu ya mipasho kwanza.
Wee bibi Husninyo hii sio mipasho bana...taarab hii
Kunayo na rusha roho pia na mipasho...lol!
 
Wee bibi Husninyo hii sio mipasho bana...taarab hii
Kunayo na rusha roho pia na mipasho...lol!

we humuoni sl kaanza mipasho hapo, lol. ana kipaji hadi cha kuimba taarabu.
 
Mhhhh... Shemeji. Umenirudisha mbaaali sana. infact kama ilivyo kwenye maisha, wengi niliokuwa nimekaa nao (nikiwa mdogo sana, inasaidia tu kuwa ninakumbukumbu nzuri sana) kwa sasa wameshatangulia mbele ya haki.

Umenirudisha mitaa ya Ilala Flats, gorofa oposite na shule ya Boma Primary School......

Ayaaa kwenye maflats basi utakuwa unamfahamu mzee Mosha....
kumbe umo kisha Gee anasema wee wa kupaishwa ka akina papa Musofe mutu ya peasa Mingi!
 
Last edited by a moderator:
Gaijin, mie ni mpenzi wa mziki mzuri bila kujali ni aina gani. Kusema ukweli Twanga Pepeta sipo karibu sana nao. Huo wimbo wa Taarabu nimekuwa mpenzi kwa miaka mingi sana. Baada ya kuja kukataliwa na mtoto kwa sababu ya umasikini, nilianza kusikiliza wimbo wa Malaika na baadaye nikaja kuwa mpenzi wa wimbo wa Don Williams wa "I'm just a country boy".

Ila kwa sasa, nimeona nisikilize zaidi sauti ya Kike ya humu mama muimba Gospel maarufu aitwaye "Allison Klauss......" katika kibao cha "you are just a country boy" na ninapenda sana maneno "......money have you non, but you've got silver in the stars, gold in the morning sun."

Huwa nikiona jua linatoka, ninaamini hayo maneno na kumshukuru Mungu kwa hiki alichonipa. Kweli mwanzo unalia "hutaki kuowa" na huko mbeleni unaanza kuhangaika na zawadi, mauwa, khanga outing nk ili mradi kuwa na msichana. I'm just a Nyamwezi boy, Money have non but i got JF...." hihihiiiiiiii. WEEK END NJEMA.

Sikonge anataka mistari Kama ile ya twanga pepeta "Papaaa Sikonge" kisha magitaa yanatumbuiza lol
 
Last edited by a moderator:
we humuoni sl kaanza mipasho hapo, lol. ana kipaji hadi cha kuimba taarabu.
Hiki kipaji kilivumbuliwa jana tu na mwlm...
Anatisha wallah!
Acha usungura mbona dikisheneri yako kairudisha jana
 
Hiki kipaji kilivumbuliwa jana tu na mwlm...
Anatisha wallah!
Acha usungura mbona dikisheneri yako kairudisha jana
Natisha kama chopa la chadema, husni mwambie akae mbali kabisa...nimeanza tuisheni jana tu roho inamdunda, nikimaliza mwezi lazima roho imtoke...
 
Hiki kipaji kilivumbuliwa jana tu na mwlm...
Anatisha wallah!
Acha (usungura) mbona dikisheneri yako kairudisha jana

hahahaha, we mfugaji nini? nahitaji maziwa ya huyo mnyama kama lita mbili hivi.
 
Ooh! Umenitajia lahaziz moyo umepasuka paaah! Hivi hujanionea sehemu huyu mtu...toka asubuhi hajarud home ujue....nimemmiss balaa

shemeji unadanganywa, stukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Sikonge

Husihuzunike wenyewe wa mwambao wanasema

"Shida roho, pesa makaratasi"

Kukutakia weekend njema nakusindikiza kwa

"natosheka na ndo ndo ndo, wewe wataka chururu
Kunionyesha vishindo, hunishindi nashukuru
Taratibu ndio mwendo, sitozifanya kukuru
Katie mbele ugoro, Mimi nimejaaliwa

Silazima sote tule asali hata sukari guru nayo tamu :]
 
shemeji unadanganywa, stukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Hahahaaa sasa sijui hii ni ile tembe tuliipigia chapuo jana au yale mafutayasokuwa na bei maalum
Lol....Huyu swtld huyu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom