I am future gay? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I am future gay?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Cosmas Lawrence, Jan 23, 2012.

 1. C

  Cosmas Lawrence Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo vipi wana JF? Binaadamu tuna kutana na mambo mengi sana hapa duniani, moja lililonipata mwenzenu hata kuomba ushauri wenu ni hili. Sija wahi kujihusisha na mapenzi tangu nimezaliwa hadi leo nina umri wa miaka 21 lakini vijana wenzangu wakua wakinijadili sana eti kwa nini mshkaji hana demu? Au jongoo hapandi mtungi? Neno hili hua linanikera sana.lakini huwezi kumpenda msichana utakaekutana nae kwa muda wasiku moja tu,neno jongoo hapandi mtungi walili2mia hata baadhi ya warembo walionitongoza. Kwa kweli sio kama,jongoo hapandi mtungi! Anapanda mpaka ukuta hasa,lakini nimejiweka hivi cuz sitaki kuumizwa na mapenzi,muda niliojiwekea ukifika nitachagua ninaempenda nitafunga nae ndoa.si lazima niende wao wanavyotaka, kuna mmoja nilimpa history yangu akashtuka,nakudai kwamba angelikua kama mimi angeli enjoy sana. Lakini baadae alinifuata na kuniambia kwamba kama nitachukua miaka 5 basi nitakua khanis kweliii!! Naombeni ushauri wenu jamani.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Utakua gay siku utakayovutiwa na wanaume wenzako na sio kipindi ambacho umeamua usijihusishe kimwili na mwanamke yeyote yule.

  Kinachowashangaza na kuwauma ni wewe kuwa na control juu ya mwili wako. Achana na maneno ya watu, Ishi maisha yako unavyopenda/ulivyopanga wewe.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,840
  Trophy Points: 280
  shauri yako we jamaa..utakuwa unapiga puli sana si ndio? sema ukweli toka moyoni kwani jina lako linaonyesha..uko mwaka wa kwanza au wa pili?ila huwezi kuwa gay kwa kutokuwa na msichana
   
 4. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Jaribu kumPM boflo, ni expert wa iyo shuhuli apa JF.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We Kloro acha uchokozi, kwani kasema anataka kupima?
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Kijana hiyo inaonesha ukomavu wako wa kifikra. Na hao wasikukatishe tamaa, mtafute umpendae kwa taratibu ndio ufunge nae ndoa na ndipo uanze hayo mambo. Nakusifu sana kwa hilo.

  Hao vijana wengine wasikukatishe tamaa, zinaa si uhodari ni ujinga. Furaha ya tendo la ndoa ni kwenye ndoa, wasikukatishe tamaa. Na wala hauwi gay kwa hilo, Gay ni yule anaependa kufanya ngono na watu wa jinsia moja na yeye. Mungu akuepushe na laana hiyo.
   
 7. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Hao ni binadamu na harakati zao za kuwatoa wenzao kasoro...kuna mambo mengi sana ambayo kimsingi yanastahili kupitiwa ila uhitaji ama kutohitajika kwake ni kulingana na wakati...Mapenzi huharibu akili,hupora uwezo wa kufikiri na yanalewesha km pombe kali! Ni vyema kabla hujafanya uamuzi kujizatiti ili kukabiliana na changamoto zake!
   
 8. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ww Kloro naona unanitafuta.......

  Umethibitishaje kama mm ni mtaalamu wa hayo mambo...
   
 9. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Asante dada Lizzy...

  Umemjibu vizuri..

  Ww ni mwana JF pekee mwenye mvuto na mm hapa jamvini.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hongera sana kwa uamuzi wa busara wa kuamua kusubiri. Licha ya kukuepusha na maumivu ya moyo itakusaidia pia kukufikisha kwenye ndoto zako hasa kimasomo. Mapenzi ya umri mdogo ni very distracting na yaweza kukuzuia kufanya masomo vizuri zaidi. Wewe ni mjanja zaidi yao, huna hofu ya ukimwi wala ya kupata mtoto usiyemtarajia. Big up, nakushauri uwaepuke marafiki walio negative and self centered, wanaodhani kuwa wafanyacho wao ndo sahihi. Kila la kheri.
   
 11. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Kumbe mara nyingine una busara ee!, Hongera
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  huna tatizo wewe, acha woga. Hongera kwa kujitunza.

  Ila heading inatisha, sijui uifanyeje.
   
 13. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hongera sana Mr. Cosmas kwani kwa ujumla wake, unajiepusha na mambo mengi sana lakini makuu yakiwa - exposure to magonjwa ya zinaa,sana sana ukimwi; kukwepa kupoteza dira ya maisha mara kadhaa kama mwanaume kutokana na kunogewa na starehe za wanawake ambazo pia zinapotezaga sana hela; na tatu, kuepuka kero zinazoambatana na mahusiano ya mapenzi kwani kina dada mara nyingine ni wasumbufu sana (ingawa na sisi tuna usumbufu wetu pia); Kitu cha kujitaadharisha kwa ushauri wangu ni viwili: Moja, ukija onja ile kitu, unaweza kunogewa na kupitiliza, hivyo kukuharibia mfumo mzima wa uaminifu kwenye ndoa kama unavyojitabiria utakuwa mwaminifu; lakini pia, hapo kati kati lisikutokee jambo baya kama vile kujihusisha na gay tendencies kwa bahati mbaya au makusudi, mfano kubakwa na mwanaume mwenzako, au ku entertain hali ya kushikwa shikwa na mwanaume mwezanzako hata kama ni kimzaha mzaha, jongo akapanda huo ukuta, na ukajikuta umeachia kisamvu; yakitokea haya, hautaweza kurudi nyuma kamwe kwasababu raha na starehe ya mwanamke kwako itakuwa ngeni; utaweza kupenda wanawake huko mbeleni lakini utarudi kwako tu mara moja moja - kisamvu mbele kwa mbele; Otherwise, mweke mungu wako karibu nawe katika kipindi hiki kigumu.
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Nakushangaa wewe ambae wakati wote hauna busara.
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hongera sn,kaza ivoivo mpaka utimize malengo yako ya kimaisha kwanza na mda ule ulopanga kuwa na mwenza ukifika kua nae km ulivojipangia,achana na maneno ya hao wavimba macho wanakuonea donge tu!huwezi kuwa guy kwa kutokua na mahusiano hata km ingekua huwi nae milele!
   
 16. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wapotezee..you're in the right track
   
 17. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hongera kaka unaonekana una busara. jitunze ivo ivo wala wasikukatishe tamaa.
  unajua wimbi kubwa la vijana siku iz linadhan mapenzi ndio kila kitu watotot wadogo wanahangaika na mapenzi wee wengine hadi nyuso zimewazeeka .
  achana nao mwaya endelea na msimamo wako huo huo, mapenzi utayakuta tu mbona yapo tena ww uta yaejoy haswa coz unakuwa ndio muda wako muafaka.
  kila la kheri mwaego usikate tamaa utafika tu. achana ni ivyo vishanshuda vinavyoendeshwa na matukio.
   
 18. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  FF umesomeka vilivyo kwa ushauri huu maridhawa. Tatizo ni kuishi katika society ambayo kuna serious moral decay na kudhani kwamba mtu akiwa muadilifu basi yeye ndo ana matatizo. Kijana usikate tamaa, ishi kwa maadili yako!
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  teheh teheh krolo we mkare...
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dah,...Hongera sana kwa kujitunza mkuu.
  Nimepita kuchungulia tu nikaona nikupongeze,...
  ngoja niende kwenye mtihani kwanza nita kushauri baadae.

  But so far,hauna kasoro yoyote na uko kwenye position nzuri
  sana kuongea na Mungu maana hauja chafua hekalu la Roho Mtakatifu.
   
Loading...