rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Pole,,, tupe feedback bi dada kasemaje???!! angalizo shuntama yaweza kukufanya uoe hicho kiburi.
Hakuna cha kusema sikutaka kusikiliza i simply call and hanged, nilishamuonya mara nyingi reaction yake ni usiwe na wasi wasi bwana...this is it..calling it an end of the road..Pole,,, tupe feedback bi dada kasemaje???!! angalizo shuntama yaweza kukufanya uoe hicho kiburi.
sioni tabu mzee, sipendi kiburi..nikitaja kabila lake hapa utazuka mjadala mrefu ambao siutaki..tugange yetu........!!ila jamaa ana roho ya kishujaa mzee anaahirisha jamaa noumah sana
mara nyingi tu hazihesabiki,pole......ulishamweleza mara ngapi juu ya hyo tabia yake ya kiburi......
sisi ndio wahusika wakuu, sihitaji watu wa pembeni, tabia kama hii hairekebishiki mkuu, ni mbaya...hat akionywa huwa mtu mwenye kiburi lazima ataleta tu kiburi tu huko mbele ya safari bora nifunge mahesabu mapemaPole mkuu....ongea na watu wa karibu pia kama wanawezasaidia...ikishindikana go ahead
sioni tabu mzee, sipendi kiburi..nikitaja kabila lake hapa utazuka mjadala mrefu ambao siutaki..
naomba usirudi nyuma hata akiomba vip! kiburi ni kibaya sana kinaweza kukufanya ukamvunja mtoto wa mtu bure.Sioni tena umuhimu wa kuendelea na hili zoezi...
Tokea nitangaze nia kwake she simply changed alot na kuanza kiburi....
Sasa nasema naivunja hii kitu, sihitaji kuishi maisha yangu yote na binadamu mwenye kiburi...
I have just called her to tell her this....
Ndio mwisho wa safari ndefu ya kuelekea malengo, a very long and sad weekend.
sijui nimezima simu baada ya kumpigia, nilimwambia tu it is off, bye...pole sana mkuu inaonyesha ulivyochoka na tabia hiyo!!!!!!! mh bidada anasemaje ?