I am back from BAN,....Nipokee charminglady asali wa moyo wangu!

Ukitaka hayo maruweruwe yatoke, yanatoka tena fastaaaa!!!!
Na hapo jee??

By C6 hahahhaha wakati ndio sasaumerudi kwa mikwara, sasa unataka urudiane na mke wa mtu au? nimemwambia alter ego wakoRuhazwe JR akipe salamu, mama watoto charminglady hebu njoo akuone tumbo lilivyo kubwa

Nimekukubali, sasa nikupongeze na nikupe lizawadi lipi liendanalo na muafaka wa muda huu ?
Nena chochote upewe!
 
Judgement bado hujaelewa tuuuuu????? yan jana baada ya kugundua hii issue nilicheka mpaka machozi.....
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ndo maana!! Miss chitchat charminglady ushapewa zawadi yako? Hilo neno alosema Nicas Mtei hapo juu liangalie kwa jicho la tatu utaona lina ukweli ndani yake. Afu ngoja nitarudi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom