I am back from BAN,....Nipokee charminglady asali wa moyo wangu!

Wasalamu,
Nimekuja kutokea kifungoni,....nisingependa kueleza machungu ya huko kwani sitayaweza yamaliza,isipokua mwenye swali aniulize ntamjibu. charminglady kipenzi changu usinipenda hata kwa dawa,naomba unipokee walau hata kwa dk kadhaa kisha ndo uende kwa kile kitoto C6 ,ingawa bado umepotea kupenda house boy wangu kwa lengo la kunikomoa bado ntazidi kukupenda mpaka kufa.
nitoe shukurani kwa St. Paka Mweusi , Madabhali Jnr na wengine wote wenyenia ya dhati na kutamani siku moja kuniona niko charminglady .Cl Bado nakupenda,ntakupenda na sitaacha kukupenda.Nipokee charminglady BADO NAKUITAJI

Dah... mie nami ni mfukunyungu aiseeee....

Kumbe kuzunguka kwoooote ni wewe daaahhh..... :confused: :confused: :confused:
 
Last edited by a moderator:
kweli walikuban yaani ukolupango wamekufanya umekuwa black hivyo au ndio asili yako wewe ndugu maana naona hicho kifungo kimekuwa balaa asiee pole sana
Wasalamu,
Nimekuja kutokea kifungoni,....nisingependa kueleza machungu ya huko kwani sitayaweza yamaliza,isipokua mwenye swali aniulize ntamjibu. charminglady kipenzi changu usinipenda hata kwa dawa,naomba unipokee walau hata kwa dk kadhaa kisha ndo uende kwa kile kitoto C6 ,ingawa bado umepotea kupenda house boy wangu kwa lengo la kunikomoa bado ntazidi kukupenda mpaka kufa.
nitoe shukurani kwa St. Paka Mweusi , Madabhali Jnr na wengine wote wenyenia ya dhati na kutamani siku moja kuniona niko charminglady .Cl Bado nakupenda,ntakupenda na sitaacha kukupenda.Nipokee charminglady BADO NAKUITAJI
 
hahahhaha wakati ndio sasaumerudi kwa mikwara, sasa unataka urudiane na mke wa mtu au? nimemwambia alter ego wakoRuhazwe JR akipe salamu, mama watoto charminglady hebu njoo akuone tumbo lilivyo kubwa

Teh!
Pamenifurahisha sana hapo red.
Kumbe kuna kipindi hizo Ids zimewahi kutumika separately.
I mean . . . . Wakati ndio sasa aliexist tofauti na Ruhazwe JR!
Alafu saa hizi ndo zimeunganishwa? Au naona vibaya?

charminglady
umenifumbuepo vimacho aisee!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom