sio watu wote tupo Tanzania wewe......hapa nilipo ni saa kumi na mbili kasoro ijumaa jioni.....sawa sawa.....
Me mbona huku nilipo ni jumatatu?
ya wapi?
umewahi kufika Ouagalagou.....?
Waheshimiwa,jamvini.Hi.am addicted wth Jf.,n am not alone aisee!kumbe watu huwa hawalali!utaona mtu amepost kwenye thread Saa 9,saa 8 n.k.almost 24hours.Bg up mmiliki wa hii kitu.On.HIVI WANAOCHANGIA MIDA HIYO WOTE HAWAKO KWENYE CHAMA CHA WALALA UCHI DUNIANI???.