I am Addicted with JF

nina mwaka mmoja tu tangu nijiunge rasmi ndani ya jf lakini hadi mi mwenyewe najishtukia, yaan kila mda natamani niwe online, sijui ndo ugeni au vipi, lakini cha msingi ni kwamba nikiwa hapa nafarijika sana, kuna kila ninachokihitaji, ahsanten wanajf wenzangu kwa kunifanya niwe happy..i wish u a nice day!
 
Muda wako mwingi kuutumia humu Jf bandugu ni moja ya kilevi au ni moja ya kutokuwa na majukumu mengi!
Msaada wa Mawazo yako tafadhali.
 
Inawezekana kuwa addiction kiasi Fulani lakini pia inaweza kuwa kwasababu huna kazi/majukumu yanayotafuna muda wako.
 
Ni kweli mkuu hadi saa nyingine unashangaa mtu yupo 24/7 sijui kazi anafanya saa ngapi? Au ndio jobless?


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
sasa usiku wote huu mnataka tufanye nini?
kuna mtua ana masaa yake ya kutafuta Habari za ulimwengu iwe kwa Mitandao kupitia Simu au Computer
na ni afadhali kuliko kushinda Bar kuvizia Bia za kugawiwa
au kuvizia Mademu au vidume vyenye AIDS uchochoroni
ingia fungua JF barizi hapo
mm ndio KILEVI CHNGU Mutu murefu USIACHE KUICHANGIA JF ndio maana inajiendesha na umeikuta hadi leo hapo utaona manufaa yake zaidi
kuna siku hali ilikuwa si nzuri https://www.jamiiforums.com/premium-members/29305-tumeelemewa-jf-kufungwa-4.htmlhivyo nasisitiza ukiingia ujue kuna wanaoiendesha
 
Last edited by a moderator:
,,sasa mtu receiptionist anakaa bure,unataka ashinde wapi
 
Back
Top Bottom