Aisee..... We nae aaaaaaaah!
Umezidi hata kama macho hayana pazia
Ilikuwa ni juzi Jumapili nilitoka out na mama Ngina
Hawa warembo wakaanza kunitolea macho, mama Ngina akamaindi
Ikabidi nijitahidi kumuelewesha ili kisije kikanuka nyumbani, nikajieleza weeee somo likaeleweka....
Heee.. Si akatokea Madame B na mashoga zake, na kwa kuwa macho hayana pazia nikajikuta nikiwakodolea macho ili kusafisha kiwi cha macho.. Mama wee kikanuka aisee......
Sina baba hapa. I am putting myself up for adoption. Nitascreen mzazi mwenyewe. Ngachoka!
Missing you hny.
Can I be your new daddy?