KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,078
lovebitelol atakuwa na matatizo ya kutojiaminiWimbo umeimbwa na JLO huo
Mmh wewe kisirani mbona sioni shida hapo
Kama alikukwaza ungekaa naye chini myamalize umekurupuka flani hivi mana hukutaka maelezo yake
Nothing is impossible under the sunSisajiliki.
Niamini tu ili usipoteze muda wako.
Sana mkuu.hata mimi ka song haka kananikera..
Jlo alishapewa talaka long time. Kwa akili yako unafikiri ataisema ndoa au mahusiano vizuri?Kwa hiyo hata Jennifa Lopez aliyeutungs na kuuimba wimbo huo alihitaji talaka?
Maana sielewi hivi mtu kuimba wimbo ni kosa?
Ndio mkuu. Hii miwanawake ya mitandao ya jamii tupa kule. Ni bora nioe kijijiniNakubaliana na ww dume mwenzangu wa shoka piga chin takataka kma hzo
Haya maneno siyapati kabisa. Gubu na kisirani wtf. Nyie wanawake maneno au mambo ya kiswahilina mnatoa wapi?Heri umemuacha mapema....maana si kwa ghubu na kisirani hicho ulichonacho
Hapana mkuu roho yangu sawa na wengine tuu. Wanaume wanaolalamika wanatendwa utakuta source ilianzia huku. Mwanaume usipokua strong utabaki kulalamika kila siku ooo huyu mwanamke haniheshimu mara unatendwa na ujinga ujinga mwingi. Mwanaume aheshimie kwanzaHahahahahaha haaaa mkuu inaelekea unakaroho kadogo kwl ww
Haya maneno siyapati kabisa. Gubu na kisirani wtf. Nyie wanawake maneno au mambo ya kiswahilina mnatoa wapi?
Hahahahahahahahah this is really funny!!!
Asubiri bss ianze akaimbe sio kwangundio shida ya kudate vivulana.
"i aint yo mama"
Mjomba we mzungu???? .Haya maneno siyapati kabisa. Gubu na kisirani wtf. Nyie wanawake maneno au mambo ya kiswahilina mnatoa wapi?