I ain't your mama

Alikushikia bastola umpe kwa nguvu si kihere here chako kisaa Wa mpa visenti ukamfanya msichana Wa watu mfanya kazi wako
Ukajigeuza muhindi unatuma mpaka basi
Ni kutuma tu manake hamna namna. Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume
 
Umefanya jambo zuri sana, awezi kukuimbia mafumbo ya ajabu ajabu wakati unamueka mjini .Akasimulie uko kwao.
Kwa hiyo hata Jennifa Lopez aliyeutungs na kuuimba wimbo huo alihitaji talaka?
Maana sielewi hivi mtu kuimba wimbo ni kosa?
 
Maana ya msaidizi unajua! Unatakiwa ufanye kazi we ukichoka yy akusaidie sio umeamka umeweka miguu juu ya meza unatuma njoo unipe rimoti njoo unipe kahawa mara embu angalia ichi yeye kwani msichana Wa kazi??? Alafu unaonekana bado unampend sema ubinafsi ulio nao na kuesabu visenti vyako ivyo watu wanahonga nyumba awalii ili kama ww ata laki sizani kama imefika
 
ingekuwa unafikiria beyond hivyo kwa issue za maendeleovungekuwa mbali ilavkwa kuwa nyimbo ndio unatake serious haya. ukikua utaacha penye wawili hapakosi vikwazo.
Wewe ndiyo umeachwa nini povu la nini??
 
Mh! Hii Kali!! Kama ulikuwa na wazo la kuoa futa kabisa, maana utaishia kufungasha vilago kila mwanamke. Na bora huyo alitii na kwenda dukani kukuletea hiyo voucher
 
Hahahahahaha haaaa mkuu inaelekea unakaroho kadogo kwl ww
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…