I.AA Wahitimu hatujapewa transcript mpaka sasa

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
Chuo hiki cha uhasibu Arusha kimekuwa na matatizo mengi sana hasa ya kiuongozi lakini hili la kuchelewesha transcript kwa wahitimu sio changamoto tena bali ni tatizo.
Nimehitimu mwaka jana bachelor of Accountancy lakini hadi sasa hakuna hata ishara ya kupewa hizo transcript, hapa nilipo bila transcript hata siwezi kuomba ajira ya uhasibu wala siwezi kujisajili na bodi ya wahasibu NBAA ili nifanye mitihani ya cpa.
Tafadhalini sana chuo cha uhasibu I.A A mkataba wenu tumemalizana, ya nini muanze kunicheleweshea transcript yangu wakati vyuo kibao wamekwishatoa, Anaesoma uzi huu naombeni contact za uhakika za kuwasilisha kero yangu hii kwa wizara ya elimu, THIS IS TOO MUCH
 
Back
Top Bottom