Hyundai wamezindua 5th Generation ya Tucson: Rav 4 Should Watch its Back!

Kwa kweli ni kumuumiza mwananchi

Kodi ni kubwa kuliko watu walizokuwa wanalipa kwa Kaisari enzi za Yesu
Sio wanawaumiza wanawau kwa kununua vigari chakavu na vidogo unakuta mtu anakomaa na ist au passo safari ndefu akipata ajali utasikia mwendo kasi wakati chombo chenyewe ni chakavu vitu bora mmezuia kwa kodi kubwa.
 
Jamaa wanakula hela ndefu kuliko mtengenezaji. Usitarajie kuwa na viwanda vya ndani.
Hata engine atuwezi kutengeneza maana wao wanataka kodi kubwa kuliko kiwanda chenyewe gari chakavu unataka kodi kuanzia 40m kuendelea akili za wapi hizo wakati nje unaweza kununua range rover ya 2025 kwa kulipia kila mwezi milioni moja na maisha yanaenda na haujaacha deposit yeyote wao wanataka 50m cash kama kiwanda na ukifika mjini wanataka parking sijui ile kodi ni ya nini..
 
Na angalau ingeenda kuboresha hata miundomninu ya nchi Kila siku mjini tunateseka na mafoleni ya kishamba
 
Sio wanawaumiza wanawau kwa kununua vigari chakavu na vidogo unakuta mtu anakomaa na ist au passo safari ndefu akipata ajali utasikia mwendo kasi wakati chombo chenyewe ni chakavu vitu bora mmezuia kwa kodi kubwa.
Ni sahihi Mkuu

Ni shida ya kuwa na Viongozi wenye kuona hapa, badala ya kuona mbali

Wazambia wanapitishia magari yao bandari yetu ya DSM, lakini wenzetu gari wananunua nafuu kuliko sisi wenye bandari 🙌
 
Wazambia mfumo wa kodi ni GVM sio mwaka harafu Fortuner ni kama Tsh 10m mpaka 12m wakati Hilux ni 8m na commercial car kodi yake kidogo sana huko Zimbabwe gari za biashara waliwahi kuziondolea tozo zote ikabaki VAT tu njoo kwa Wagalatia sasa Scania ya 2019 horse wanachukua kodi 65m na ya 2005 wanachukua kodi 34m hiyo kila kukicha watakua wanatengeneza vikosi vya kusaka wakwepa kodi za magari kwa sababu kodi zao hazilipiki..
 
Kama Toyota Fortuner Kodi shilingi 10m hadi 12m? Basi Tanzania ndiyo maana wanafanya ionekane kumiliki gari ni anasa

Wanataka watu wanunue baiskeli kusafiri nazo kama ilivyokuwa miaka ya 1980 🙌
 
Wanataka wanunue bajaji harafu zinasafiri umbali mrefu na kusababishq ajali uliona wapi bajaji eti Tsh 14m hiyo pesa si unapata Rav 4 ya 2013 SA rand 90,000 hiyo ujue..
Wazambia wanatumia gari za sasa hivi ambazo wabongo watakuja kutumia miaka 15 mbele..
 
Kweli Bongo jau

Ndiyo maana ukwepaji Kodi hauwezi kuisha
 
Kuna Mzambia nilimnunulia Mercedes Benz moja ya Japan kaipokea jana daslm nadhani leo ataicha Nakonde hapo kodi yake anadai imetoka ila ataiacha hapo alipe kidogo kidogo kwa miezi mitatu anarudi kuchukua gari yake wakati hiyo ishu ingekua Tanzania ingeuzwa aisee..
 
Ilikuwa Mercedes Benz ya mwaka gani?

Kodi za Tanzania sio rafiki hata kidogo, zimekaa kwaajili ya kukomoana tu 🙌
 
Hiyo gari imeagizwa na dereva wa truck anatoa mizigo SA kaajiriwa sio kwamba truck za kwake..
Aisee 🙌

Tanzania tutaishia kumiliki magari ya mwaka 2005 hadi 2012, lakini haya currently hatuyawezi kwasababu ya Kodi

Nataka mwakani niagize gari ya mwaka 2024 kwa kuomba VAT exemptions
 
Inatakiwa uanze kuomba kwanza ndio uagize sio gari lifike bandarini ndio uanze huo mchakato utaliacha hapo waliuze fatilia Vin namba zake na model tumia hizo ili ukipata uagize itakua rahisi ingawaje zitabadilika na gari lako utajua jinsi ya kufanya ili waingize za kwenye Bill..
 
Sawa, nitafanya hivyo

Gari za kuanzia 2020 hadi 2025 nyingi zinakuwa na mileage ndogo

Sio gari unaagiza ina mileage ya 115,000km 🙌
 
Wazambia mfumo wa kodi ni GVM sio mwaka harafu Fortuner ni kama Tsh 10m mpaka 12m wakati Hilux ni 8m na commercial car kodi yake kidogo sana huko Zimbabwe gari za biashara waliwahi kuziondolea tozo zote ikabaki VAT tu njoo kwa Wagalatia sasa Scania ya 2019 horse wanachukua kodi 65m na ya 2005 wanachukua kodi 34m hiyo kila kukicha watakua wanatengeneza vikosi vya kusaka wakwepa kodi za magari kwa sababu kodi zao hazilipiki..
Kaka niliwah kukuuliza kuhusu Zambia kuwa na bei ndogo ya magari,je naweza kununua huko kuokoa gharama?
 
Back
Top Bottom