Hysteria ya uongo!

Anaongeza idadi ya post zake hapa JF.
Ila usimtukane
 
Anaongeza idadi ya post zake hapa JF.
Ila usimtukane
Inakera sana mwanangu, kwenye issue sensitive zinazohusu ustawi wa nchi unakuta mtu anaandika vitu ambavyo havina mashiko kabisa, kisa yeye anakaa sijui wapi huko..
 
Kama unafananisha hili jinamizi la awamu hii na awamu zilizopita basi una kichaa. Huyu mkatili na mbaguzi ndiyo unasema anafanana na wengine? Hata Mkapa alikuwa katili lakini alikuwa walau na akili. Halafu mujue mlivyo wabaguzi ndiyo maana mnatetea huu ujinga. Mumekaa kujiona mnajua wakati vichwani mumejaza ujuha!
 
Tatizo sio wasikemee ...tatizo unafiki wa kupitiliza ....hawamjui adui yao halisi ....ndio maana wanamshangilia Kikwete na kusema wanamkumbuka! Ambao si wasahaulifu tunawashangaa! ....ndio maana tunaona tatizo kubwa upinzani ....chuki kwa watu binafsi tu .....kila Rais anayeingia madarakani hugeuzwa shetani ambaye hajawahi kutokea!!! Huu ni ulaghai usiofaa kabisa ....mnajikuta mnapinga tu na kulalama hadi mnaonekana vichaa.....mfano mfumo wa sasa wa kuoneshwa bunge umeasisiwa wakati wa Kikwete ....JPM amemalizia tu utekelezaji ....maana yake angekuwepo JK bunge lisingeoneshwa pia .....sheria ya mitandao mnajua ilitungwa ktk utawala wa JK .....lakini leo mnasema JK ni bora kuliko JPM!!! Wengine mnaenda mbali eti alijua kucheza na hisia za watu!! Seriously!!! Yale ya kuhutubia na kutupa stori za daktari wake na issue ya tezi dume wakati nchi ilikuwa imesimama, bunge limesimama sababu ya Escrow?? Pangeni mikakati ya kufanya siasa zama hizi za JPM badala ya ulaghai wa kitoto hadi wananchi wa kawaida hawawaelewi!!
 
Tukio la mwangosi na muuza magazeti wa morogoro lingetokea sasa sijui ingekuaje
Tatizo la wapinzani wetu hawana kipya cha kuwaambia watanzania,inabidi waungane tu na waathirika wa mabadiliko ya kiuchumi yanayofanywa na Rais wetu ili kumpaka matope
 
Naongezea kubenea alimwagiwa tindikali,ndemara tegabangwe alikatwa mapanga yote yamefutika vichwani mwao!
Hawa watu ni wanafki sana,yani ukiwauliza hbr za jk wanamwaga mapovu hatari.Nafikiri wameapa kupambana na jpm kwa mbinu zzt zile ikiwa na kusafisha utawala wa jk kwa matukio yaleyale yanayotokea utawala Huu.
 
at least kikwete alikuwa anatoa uhuru wa kujieleza,bunge live,mikutano ya siasa
sasa watu wanapigwa risasi na kutekwa na hawaruhusiwi kulalamika
yani ubabe ubabe
Mauaji arusha,Moro,Iringa,ulimboka nk yalikua yanatokana na nn?
 
Nafikiri wanatatizo ktk settings za UFAHAMU wao.Inatakiwa OS ya vichwa vyao ipigwe chini tu na tuinstall mpya.Haiwezekan matukio yote haya anatokea mmoja anakuambia jk alikua mwanademocracy.Huu ni uendawazimu.
 
Wanachoshindwa kujua ni kwamba hakuna uongoz uliwahi ruhusu maandamano sema uimara wa upinzani kipind hicho waliweza kuforce na ndo maana ktk kila maandamano yao lzm fujo zitokee na nakumbuka uliibuka msemo wa TAARIFA ZA KIINTELEJENSIA na MAAGIZO toka juu.Hawa mapimbi eti haya hawayakumbuki na wanaona hayakuwah kutokea Tanzania.
 
Hao watu hawana ndugu tusikie wakilia kutowaona ndugu zao?Tuseme serikali inahusika,hao watu walifanya nn cha ajabu kias serikali kuona njia mbadala ni kuwapoteza?Nachojua serikali inaweza anagaika na watu wenye ushawishi na wanaweza hatarisha maslai yake,niambie akina nani wamehatarsha maslai ya serikali na hawajulikan wako wap kias tuseme itakua ndio hao waliopatkana ufukweni?
 
Ni kweli hao jamaa ni waongo,lakini ni kwanini wewe usiwe ndiye muongo na hao jamaa wakawa wakweli?Maana umeshindwa kutetea hoja yako kisayansi.
 
unajua kusoma lakini hujui kuelewa
rudi kasome tena nilichoandika na ujaribu kuelewa
Kwamba ulichoandika ni kijeruman au kilugha chenu kias nishindwe kuelewa?Swali nililokuuliza,sio wewe tu,ni Bavicha wote hawawezi kulijibu na hapo dhana ya unafki inapojitokeza.
 
Wasichosema ni kuwa siku hizi hakuna masafari ya nje kwa wabunge kama zamani! Hakuna lobbying za taasisi mbalimbali bajeti zipite au kupitisha vitu fulani ....tafuta wabunge waliikuwepo mabunge yaliyopita hasa wa CCM wanasema wazi wengi walivyotengeneza pesa upinzani wakiwepo....chuki ni hicho kibano na kuishi kwa mishahara .....safari za hovyo kufutwa ....ngumu kumeza lakini ni FACT!!
 
Ukisema watu wamebobea kwenye ukosoaji basi ujuwe kuna watu wamebobea kusifia hata mambo ya hovyo hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…