Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,092
- 143,314
Well saidwanamchukia zaidi Rais Magufuli kuliko wanavyoichukia CCM.
Well said
Hawa jamaa 2020 ndio watagundua madhara ya hii mikakati yao mfu....Mtaishia kuwa wafa maji tu na huko kutapatapa kwenu.
Hujawahi kuwa pro CCM, pro Magufuli, una lako jambo!
MKUU umenifananisha? Mimi Mtanzania bana. NA INANIPA uhuru sana hii maana sifungamani.Kamanda niaje?
MKUU umenifananisha? Mimi Mtanzania bana. NA INANIPA uhuru sana hii maana sifungamani.
Unataka tukae kimya ili haya mambo ya kutekana yaendelee.,..akili za usiku